babykailama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 251
- 243
Kero kuu ni kuzuia watu kuujadili kama wanautaka au la na uwe wa aina gani. Hapo Serikali yetu inafanya kosa kubwa sana maana hii naona ndio inaendeleza chuki kwa wenzetu Wazanzibar wakifikiri kuwa sisi Watanganyika tuna faidi sana na Muungano kuliko wao na ndio maana tunaupigia debe kwa gharama zote kitu ambacho si kweli.