Miaka 3 Imebakia Kabla ya 2020. Chonde Chonde Naomba Mbowe Akijaja US. tukutane Nina La Kuwasaidia!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,628
2,000
Hii Ni Mara ya Tatu Najaribu Kuomba Mbowe akiija US kwa Shuhuli za Kichama Wanitafute niwape Mawazo yangu Jinsi ya Kuzima hujuma za Kitoto toto juu ya UKAWA! I do not need anything na Hawatapigwa na Radi wakinisikiliza na wakaona hawatakubaliana na mimi.

Pia Nasema tu kuwa Mimi sijazaliwa Jana hivyo Hakutakuwepo na Imposters kwenye hili. Tutatafutana kwa hatua! Nitatumiwa private msg hapa, Nitaprovide ujumbe maelekezo! Kisha nitatoa number lazima nipigiwe kwa Video phone au Skype nimwone Uso kwa uso anahenisemesha kuwa ni yeye! Kisha nitakutana naye kwenye Public area Kama Maktaba au court House.

Baada ya hapo tunakutana Private area atakayopanga yeye au mimi kwa Mazungumzo! Nataka tu kushauri Mawili Matatu.


Why should they Trust me? Mimi ni Loyal person 1000%, Wako Marafiki zangu wakubwa walimuunga Mkono Lowassa wakapigia Debe UKAWA Ushindi Ulivyopokonywa wakayeyuka na Wengine hawaeleweki eleweki. Mimi Ukawa hawanijui, Lowassa hanijui, Nikaamua tu kichwa kicha nitetee mabadiliko kwa kuwa tangu 1995 Nilikuwa nikitetea Mabadiliko, Muulizeni Ndimara Tegambwage Nilimpa Waraka wangu wa Kuwa Mkapa ameonekana Anachagulika lakini Ndani atabeba Wateulika! Hiyo ilikuwa ni 1995. Nikaendelea kutamani Mabadiliko! Kabla ya hata 2015 Miaka kama 10 kabla nikawa nikilia sana na Swala la Polisi kupiga Raia na Wabunge wa Upinzani! Na nadhani hata Kikwete aliipata hii ndio maana siku moja alipotembelea Wananchi wa Mabondeni akawa anawaambia Polisi waache kupiga Raia. Naona Masikini Kikwete alikuwa akinijibu, Bwana Mdogo hawa jamaa mimi siwatumi


Kikwete Akiwakoromea Polisi Acheni Kupiga Watuuu Mbona Hamsikiii?
‘Bravo’ JK kukemea uonevu wa polisi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom