Miaka 29 Baadae, Huyu ndiye Kelvin wa Filamu za Home Alone

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,714
45,099
Miaka 29 baada ya filamu ya kwanza ya mfululizo wa filamu za Home Alone, huyu ndiye Kelvin ambaye aliigiza kama mtoto ambaye ndiye alikuwa stelingi wa filamu hizo.
Kwasasa amezama kwenye uraibu wa matumizi ya madawa ya kulevya. Ila ameanza kwenda rehab baada ya hali kuwa mbaya.
macaulay-culkin.jpg


enzi zake
710ee8e0-4faa-4b18-9417-b13591e2b827-large16x9_1280x720_50825P00BIFKJ.jpg


A1T%2BlZ6iUZL._SY445_.jpg


Unakumbuka wapi ndugu mhenga?
 
Vijitu vya hivyo vinakuwa vinapiga bati ni noma,.yaani to chase the dragon.
 
Back
Top Bottom