Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
29,629
2,000
Kiongozi,

Naomba nikuulize swali:-

Kwenye kutafuta kuna mawili, nikiwa na maana kuna kupata na kuna kukosa.

Swali ....

Je ikiwa Mtonyo unaoutaka haujapatikana na Umri unazidi kukutupa mkono ina maana utazidi kuendelea kusubiri?

Italeta raha kama umejpanga ila nowdayz watu wanatafta mtonyo kwanza kuzaa badae.

Na hii itapunguza street children.

Mbona asilimia kubwa Familia zetu tunazotoka Maisha ni ya kawaida sana, na tumelelewa hivyohivyo kwa kuunga unga mpaka tunakua, na kuanza kujitegemea wenyewe.

Mbona hatujawa Watoto wa mitaani!
 
juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,640
2,000
Kiongozi,

Naomba nikuulize swali:-

Kwenye kutafuta kuna mawili, nikiwa na maana kuna kupata na kuna kukosa.

Swali ....

Je ikiwa Mtonyo unaoutaka haujapatikana na Umri unazidi kukutupa mkono ina maana utazidi kuendelea kusubiri?

Mbona asilimia kubwa Familia zetu tunazotoka Maisha ni ya kawaida sana, na tumelelewa hivyohivyo kwa kuunga unga mpaka tunakua, na kuanza kujitegemea wenyewe.

Mbona hatujawa Watoto wa mitaani!
Nice question, hatokujibu,,na tumuulize hadi leo account yake inasoma shilingi ngapi? Si ajabu sisi wenye watoto tuna hela kuliko yeye
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
29,629
2,000
Nice question, hatokujibu,,na tumuulize hadi leo account yake inasoma shilingi ngapi? Si ajabu sisi wenye watoto tuna hela kuliko yeye
Umeona hapo?

Kazi kwao.

Muda hautusubiri.

Wakifanya mchezo wakishashtuka JUA linakua limeshazama.

Ninge zinakua nyingi.

Wanabaki Ningejua, Ningejua, Ningejua.

Hapo ndio watajua, Ningejua au NINGEMWEZI
 
kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
496
500
Tatizo maisha magumu mkuu. Mimi nilikua tayari kuzaa hata nikiwa na miaka 18 ili niwakuze wanangu nikiwa bado kijana. Maisha yamefanya watu tumegonga miaka 38 bila mke wala mtoto.
mkuuuu upo sahihi kabisa nakutamkia baraka mwakwni muda kama huu utakuwa kwenye mchakato
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
29,629
2,000
Ila waliowahi kuanza majukumu wengi wao maisha yao ni magumu sana
Una uhakika na unachokiongea?

Kwahiyo unataka kuniambia waliochelewa majukumu ndio wanaopeta!

Jiangalie wewe.

Wapo wengi wanaoyaogopa majukumu na mpaka kufikia usawa huu, si Simba wala Yanga.

Siri ya kuwahi majukumu kaa ukijua spidi ya utafutaji inaongezeka sana
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,819
2,000
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na umetimiza miaka 27 lakini huna hata mtoto wa kusingiziwa na hata kutoa mimba hujawahi basi unapaswa kujichunguza huenda una matatizo ya kizazi.

Haiwezekani mtu anaefanya ngono hadi kufikisha umri huo hana mtoto, hilo ni tatizo maana maisha ya sasa ni mafupi sana! Sasa kama hutaacha legacy basi ni hatari sana kwako au subiri tu kuitwa babu au bibi na watoto wako.

Wenzako wanaacha kuzaa wewe ndio unaanza
Upuuzi
 
Iringakwanza

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
756
1,000
Una uhakika na unachokiongea?

Kwahiyo unataka kuniambia waliochelewa majukumu ndio wanaopeta!

Jiangalie wewe.

Wapo wengi wanaoyaogopa majukumu na mpaka kufikia usawa huu, si Simba wala Yanga.

Siri ya kuwahi majukumu kaa ukijua spidi ya utafutaji inaongezeka sana
Kama ni kijana ametokea kwenye familia yenye kipato kizuri akitokea akikwama yupo dada au kaka au mjomba wa kumsaidia huyu hawezi kuteteleka swala la kuwai kuanzia familia na familia huwa na furaha siku zote

Tofauti na kijana ambaye kamaliza chuo Ana miaka 24 hana connection hana ndugu mwenye uwezo ndio mana nimesema hivyo hawezi Fanya lolote ikiwa atawai kuanzisha familia mapema nauhakika nachoongea wengi wao huwa wanakosa muelekeo wanaachana na mzazi mwenzie anaenda kuzalisha mwanamke mwingine watoto wanabaki kulelewa na bibi hapo bado hana mpango wakuwa na kiwanja

ni vyema kujipang kwanza mtoa mada angesema atleast miaka 30 ningemuelewa mana ukianza majukumu mapema utazeeka utakosa ata pesa ya kununua panado

mawardat

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
4,116
2,000
Unalia nini shoo?
Majuzi nilikuwa na mashoga zangu wawili wote wanawatoto....mie nilibeba mikoba yao,kuna sehermu tulipita walikaa wakaka wengi,wakaanza kuSema...ooooh wenzio wamebeba watoto wewe umebeba mikoba....utabeba mikoba ya wenzio hadi lini??...wewe utazaa lini???
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
29,629
2,000
Kama ni kijana ametokea kwenye familia yenye kipato kizuri akitokea akikwama yupo dada au kaka au mjomba wa kumsaidia huyu hawezi kuteteleka swala la kuwai kuanzia familia na familia huwa na furaha siku zote

Tofauti na kijana ambaye kamaliza chuo Ana miaka 24 hana connection hana ndugu mwenye uwezo ndio mana nimesema hivyo hawezi Fanya lolote ikiwa atawai kuanzisha familia mapema nauhakika nachoongea wengi wao huwa wanakosa muelekeo wanaachana na mzazi mwenzie anaenda kuzalisha mwanamke mwingine watoto wanabaki kulelewa na bibi hapo bado hana mpango wakuwa na kiwanja

ni vyema kujipang kwanza mtoa mada angesema atleast miaka 30 ningemuelewa mana ukianza majukumu mapema utazeeka utakosa ata pesa ya kununua panado
Hakuna kama kujipanga hapo, jilipue mambo mengine yatafuata.

Wengi wanasumbuliwa na uoga wa majukumu wanabaki na kisingizio chao cha kujipanga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom