Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,834 155,782 Apr 20, 2018 #2 23 and vice versa is true
Minah24 JF-Expert Member Dec 26, 2017 1,043 1,931 Apr 20, 2018 #3 Miaka ya mke wa mtu Wewe inakuhusu nn jaman Kampenda yeye cyo miaka yake
D DATAZ JF-Expert Member May 25, 2012 2,442 5,955 Apr 20, 2018 #5 Mwili wa mtu unaweza kimmfanya akaonekana ana miaka mingi au michache
mwandende JF-Expert Member Feb 16, 2017 10,518 19,883 Apr 20, 2018 #6 Huyo hana 23..atakuwa na 30 au 29
Mwambwaro JF-Expert Member Jan 26, 2018 2,559 2,275 Apr 21, 2018 #9 Kwan haipiti Kama haipiti inalazimishwa
butron JF-Expert Member Jun 3, 2013 5,298 7,345 Apr 21, 2018 #10 Umeandika vibaya ni 32.Kutoka kwa mhifadhi wa kumbukumbu za vizazi na vifo Mombasa Una swali jingine nikusaidie tafadhari!
Umeandika vibaya ni 32.Kutoka kwa mhifadhi wa kumbukumbu za vizazi na vifo Mombasa Una swali jingine nikusaidie tafadhari!
lolypop JF-Expert Member Jul 29, 2015 2,430 1,681 Apr 21, 2018 Thread starter #11 Mwambwaro said: Kwan haipiti Kama haipiti inalazimishwa Click to expand... Nilidhani tatizo la umri kutoongezeka ni wanawake wa Tz tu
Mwambwaro said: Kwan haipiti Kama haipiti inalazimishwa Click to expand... Nilidhani tatizo la umri kutoongezeka ni wanawake wa Tz tu
lolypop JF-Expert Member Jul 29, 2015 2,430 1,681 Apr 21, 2018 Thread starter #12 Minah24 said: Miaka ya mke wa mtu Wewe inakuhusu nn jaman Kampenda yeye cyo miaka yake Click to expand... Nimemfananisha na wema sepe
Minah24 said: Miaka ya mke wa mtu Wewe inakuhusu nn jaman Kampenda yeye cyo miaka yake Click to expand... Nimemfananisha na wema sepe
Mwambwaro JF-Expert Member Jan 26, 2018 2,559 2,275 Apr 21, 2018 #13 lolypop said: Nilidhani tatizo la umri kutoongezeka ni wanawake wa Tz tu Click to expand... umri sahihi Ni kwa wafrica Ni janga huwa Umri wetu unasimamaga kamwe hauendag mbele
lolypop said: Nilidhani tatizo la umri kutoongezeka ni wanawake wa Tz tu Click to expand... umri sahihi Ni kwa wafrica Ni janga huwa Umri wetu unasimamaga kamwe hauendag mbele