Miaka 2000 inayokuja huenda kizazi cha mtu mweusi kikapotea katika bara la africa

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kuna taarifa nilikuwa ninaisoma kuna hati hati huenda kizazi cha mtu mweusi au watu weusi kikatoweka barani Africa.....

Hii inatokana na kwamba kati ya mzungu, mchina,mwarabu,mjapani na mwafrica utafiti unaonyesha waafrica wengi tunakufa kwa wingi zaidi kutokana na kukosa huduma bora,njaa,magojwa na ukosefu wa lishe bora, ukosefu wa matibabu bora mahospitalini na kadhalika.

Lakini pia life expectacy ya kmwafrica wa sasa imeshuka hadi inaonyesha miaka 45 ya kuishi tofauti na miaka ya zamani watu waliweza kufika miaka 80 hadi 100

Kwa namna hiyo hali hii na hali inavyoelekea miaka 2000 inayokuja katika bara la Africa mtu mweusi huenda akapoteaaa
 
Hiyo ilikuwa zamani broo siku hizi watoto wawili mmoja akijitahidi kijana watoto watatu lakini saivi huwezi kukuta kijana mwenye watoto Tisa,

Yaani wewe hujajua tuu; wazungu wanaishi miaka 100 wana watoto wa 2. Sisi tunaishi miaka 45 na tunawatoto hadi 9.
 
mantiki yako ni ipi? Kwamba tuzae watoto wawili tuishi miaka mia au? Sku hizi nani anafytua watoto wote huo kwa usawa huu mgumu ndugu?
 
KWA NAMNA DUNIA ILIPOFIKIA NA HALI TULIYONAYO, SIDHANI KAMA DUNIA ITAHIMILI KUWEPO KWA ZAIDI YA MIAKA 2000 IJAYO...
 
mantiki yako ni ipi? Kwamba tuzae watoto wawili tuishi miaka mia au? Sku hizi nani anafytua watoto wote huo kwa usawa huu mgumu ndugu?
Kaangalie wasichana wadogo miaka 25 kule mazese wauulize wana watoto wangapi na hawajui mwenza
 
Ukitaka kujua kama tunapungua ama tunaongezeka sensa iliyopita tulikuwa takribani 45ml,sasa HV inahisiwa kuwa tunakaribia 70ml.
 
Hatuwezi kupotea mkuu tunazidi kuongezeka badala ya kupungua.
Halafu historia ya mwanandamu hata science haielewi.
Jieleimishe kuhusu the baghadad battery,
Kuna taarifa nilikuwa ninaisoma kuna hati hati huenda kizazi cha mtu mweusi au watu weusi kikatoweka barani Africa.....

Hii inatokana na kwamba kati ya mzungu, mchina,mwarabu,mjapani na mwafrica utafiti unaonyesha waafrica wengi tunakufa kwa wingi zaidi kutokana na kukosa huduma bora,njaa,magojwa na ukosefu wa lishe bora, ukosefu wa matibabu bora mahospitalini na kadhalika.

Lakini pia life expectacy ya kmwafrica wa sasa imeshuka hadi inaonyesha miaka 45 ya kuishi tofauti na miaka ya zamani watu waliweza kufika miaka 80 hadi 100

Kwa namna hiyo hali hii na hali inavyoelekea miaka 2000 inayokuja katika bara la Africa mtu mweusi huenda akapoteaaa
 
Hatuwezi kupotea mkuu tunazidi kuongezeka badala ya kupungua.
Halafu historia ya mwanandamu hata science haielewi.
Jieleimishe kuhusu the baghadad battery,
Mkuu nimepitia hiyo baghdadi battery naona wanasayansi wameshindwa kujua ilifanya kazi gani hasa!!!lakini sijaiona connection na uzi wa mleta mada!!!
 
Nakubaliana na mleta mada.
1) Tunakula vyakula vyenye sumu.
2) Ardhi imechoka ukilima had utumie mbolea na madawa.
3) Chanjo zinatolewa mashuleni wakati zamani vitu hivyo havikuwepo.
4) Kuna project wanaiendesha kina Bill Gattes kuhakikisha waafrica wanapotea kwenye bara la Africa ili wazungu wajekuishi huku kwasababu Kuna rasilimali zakila aina tofauti na kwao na hali ya hewa ni nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom