lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Miaka 3 imeisha mwenyekiti wa ccm,na mwenyekiti wa chadema hawajawai kukaa meza moja na kunywa hata soda
Alfu bado kuna watu wanahubiri umoja amani na mshikamano kweli?
Ccm ilipata kura milion 8,na chadema ilipata kura milion 6 na ushee, kwa wenye akili hivi vyama vinawafuasi wengi,wapumbavu pekee wenye tabia ya kushupaa!!
Shingo ndio watakaona kama hivi vyama havina wafuasi wengi,swali kwa mwenyekiti wa ccm anawafuasi wengi?Na mwenyekiti wa chadema anawafuasi wengi na hawajawai kukaa meza moja unaweza kuhubiri umoja amani na upendo kweli?labda upendo wa mungu n,gombe lkn sio mungu wa yakobo,daudi,na Abraham.
Swali mbona viongozi wa dini ya kisilamu na viongozi wa dini ya kikirstu huwa wanakaa pamoja?Kama wao huwa wanakaa pamoja kwanini wasimshauri mbowe wa chadema,na magufuli wa ccm wakae pamoja ili waweze kuunganisha wafuasi wa vyama vyote kwa upendo?
Je ni kweli tuko wamoja baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015? Je hakuna vidonda vya uchaguzi?
Je umoja wetu kweli ni imara?
Kwanini viongozi wa dini wasitumie busara ya kuandaa hata kasherehe kadogo alfu wamwalike mbowe,na magufuli?ili uwe angalao ni mwanzo mzuri wa kujenga umoja?Kama wao wanavyokaaga na watu wa dini zote kwa vitendo?