Miaka 18 iliyopita historia iliandikwa (Leo 10)

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
9,020
8,480
instagram_1637076673446.jpg

Screenshot_20211116-183005_Instagram.jpg
Screenshot_20211116-183033_Instagram.jpg

Zimebaki siku 11 akabidhiwe ballon d'Or ya 7......
 
Ana kipaji,mzuri,Ila Yuko programmed,anafanya vitu vilevile kwa miaka 18,gaucho hakutabirika

Gaucho mwenyewe amekiri Messi is the best more than him, wewe nani ubishe!! Wabongo bwana!

Messi amedumu kwa ubora wake more than 10 years ago, may be kuliko mchezaji yeyote kuwahi kutokea, ameisaidia timu kuchukuwa ubingwa mara nyingi, La liga, Copa del rey, super cup, fifa club world cup, uefa champions, Copa America, world cup u20 n.k.

Ebu niwekee achievements za gaucho, na vipi ameisaidia timu yake kuchukuwa ubingwa mara nyingi, na siyo kusifia tu vyenga mara kupiga watu kanzu wakati mashabiki OG wanahitaji vyenga, kujituma, na kuipatia timu ushindi kama La pulga anavyotupatia + ladha ya soka.

Diego Armando Maradona na Lionel Messi ndiyo wamenifanya niupende zaidi mchezo wa soka. For me, bado sijaona wa kufikia uwezo wa wawili hawa.
 
Gaucho kaongea kisiasa tu,so wa hovyo Kama watoto wa siku hizi wanaojisifia na kimponda mwingi,gaucho aliikuta barce unataka teremka daraja,akaipa ubingwa la liga,uefa,akaipa Brazil world cup,akatoa burudani Hadi mashabiki wa timu pinzani walifurahi na kimshangilia
 
Una tatizo la Xenophobia ww
 
Gaucho kaongea kisiasa tu,so wa hovyo Kama watoto wa siku hizi wanaojisifia na kimponda mwingi,gaucho aliikuta barce unataka teremka daraja,akaipa ubingwa la liga,uefa,akaipa Brazil world cup,akatoa burudani Hadi mashabiki wa timu pinzani walifurahi na kimshangilia

Hahhaaa eti kisiasa, Uliongeanae akakuelezea kama ni siasa?
 
Ronaldo de Lima ...
Pele ..
Maradona
Ronaldinho
Messi
Zidane.
Eusebio..
Romario..
Roberto Carlos..

Hiyo ndo top ten yangu best ya all the time
 
Kizazi Cha akina gaucho hakikupenda kujisifia,Messi mwenyewe alimkubali gaucho akawa anampeleka club,barce wakaona atamuharibu,wakamuuza

Kwahiyo Messi anajisifu? Hoja dhaifu sana hizi mkuu, hazina maana 🤣 Messi na gaucho inajulikana kitambo ni maswahiba, na uswahiba wao haimaanishi eti amemkubali gaucho kuwa ni bora zaidi yake.

Aise, sometimes mahaba yanauwa

Messi siyo level ya gaucho tambua hilo, Messi anashindanishwa na akina Maradona na Pele, na siyo kagaucho kako kaliedumu 3 or 4 years kakaflop.

Washindanishe gaucho na Zinedine zidane zizo ndiyo level moja, but siyo kwa Messi. Messi is another level kamanda
 
Nimesoma wapi Messi kajisifu!!?...hapa nani ana mahaba!!?..Messi hamfikii gaucho kwa uwezo wa mpira,usihesabu makombe,sababu mchezaji mmoja hadaki,hawi beki,hawi kiungo...Kama wengine wakiwa hovyo utachukuaje makombe!!?..utafungaje na hutengenezewi nafasi!!?...Messi na chenga zake koni(cones) kila siku amfikie gaucho!!!..kamtazame Tena gaucho
 
Ronaldo de Lima ...
Pele ..
Maradona
Ronaldinho
Messi
Zidane.
Eusebio..
Romario..
Roberto Carlos..

Hiyo ndo top ten yangu best ya all the time
fanya ufanyavyo,km una ufahamu was mpira huwezi andaa list ukamwacha CR7. Lazima dunia ikushangae, na kutilia shaka utmamu was ubongo wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom