Miaka 16 imetimia tangu nilishinde pepo la uvutaji bangi na punyeto

sabuwanka

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
690
751
Leo Ni siku ya jumapili ya mwisho wa mwezi January, napenda kuchukua nafasi hii kuongea na vijana, mtakumbuka miaka ya 1990 ni kipindi ambacho vijana wa shule ya msingi walikuwa vidume....

Vidume vikongwe vikiwa vinasoma msingi....na Mimi nikiwa kijana mdogo nilijifunza tabia zao ikiwemo kuvuta bangi wakati wa masomo ya jioni! Nilivuta taratibu mwisho nikawa mzoefu....sehemu ya pili ni kwa ndugu zangu walikuwa ni wakulima wa bangi na wavutaji wakiongozwa na babu mzaa mama! Aliyekuwa tajiri wa mifugo ,mkulima na mvuta bangi!!!kwa bahati nilifaulu nikaenda sekondari na kuendelea kusoma huku nikivuta bangi, nilijitahidi kuacha lakini hamu ya bangi asikwambie mtu....

Ikikushika unaweza tembea km 10 kutafuta bangi!nilifanya mtihani wa kidato cha nne nikiwa nimevuta bangi ...na kuambulia div 2 , wakati bangi ilikuwa inaniambia hapo Nina division one Kali! Bangi bwana sio ya mchezo! Kama mnavyojua bangi inavutwa kilingeni ( kikundini) huko nako niliongeza tabia ya nyeto......acha kabisa hongereni ambao Mungu aliwaepusha nyeto! Nyeto ukiizoea ni sawa na chakula....utakula asubuhi ,mchana na jioni.....!

Baada ya kumaliza O level nilipata post mbili ! Ya chuo na A level...nikaopt chuo! Muda nikiokuwa nasubiri kwenda chuo nilienda mkoa wa kagera, huko nikakutana na bangi ya burundi....ukivuta leo inaisha kichwani baada ya siku 3! Nikaona shida ya Nini nikamrudia Mungu nikaachana na bangi na nyeto....haikuwa kazi rahisi ! Ni kwa maombi na kufunga nikaishinda kiu ya bangi na nyeto!!!!!.....

Ila Sasa athari ya bangi Bado ipo maana huwa sikasiriki mapema na nikikasirika hasira inadumu wiki....na hapo shetani anaanza kukunong'oneza vuta kidogo....namwambia ushindwe! Nimeendelea kuwa mshindi! Mitihani iliyofata A level na chuo kikuu nilifanya nikiwa nimeisaliti bangi! !

Vijana jiepusheni na makundi rika ndio chanzo cha uvutaji na utumiaji wa madawa ya kulevya!
 
Hutakaa uumwe kansa wala magonjwa ya ajabu. Ishukuru sana bangi.

Kuhusu punyeto, ni suala mtambuka nadhani ungeachana nalo kwa sasa kuliongelea kwenye mambo ya bangi.

Unforgetable
 
we bado unavuta bangi...uliopt chuo muda unasubiri chuo ukaenda kagera ukavuta ya Burundi ukalewa siku taraa,hapo hapo mitihani ya A level na chuo kikuu haukuvuta bangi. Unazingua hiyo A level ulisoma lini?kenge kasoro mkia
 
Back
Top Bottom