Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Wapuuzi sana hao watu. Mtu hajui kuongea lugha yake ya asili,hajui kuimba wala kucheza ngoma zao za asili. Wana bahati sana tuko kwenye mfungo ningewatukanilia mbali
Nalog off
Nalog off
Lengo la hizi lugha ni kuelewana.Ukichunguza kwa makini utagundua moja ya athari ya watu kuhamia mijini kutoka vijijini ni vijana wengi kuzaliwa na kukulia mijini kias kwamba wengi hawapati fursa ya kujifunza lugha zao za asili kama ilivyo kwa wale wanaozaliwa vijijini waliko wazee
Wazazi wengi huku mijini wanaacha ule utamaduni wa kuwaongelesha kilugha watoto wao tangu utotoni na badala yake wakuwa wakijifunza kiswahili na wengine kingereza kwa wale wanaosoma shule hizi za kisasa.
Baadhi ya watoto hawa wengine hata kiswahili hawakijui bali wanajua zaidi kingereza kutokana na muda wote kuongea kingereza shuleni na hata wakirudi nyumbani ni ndani ya mageti huku wakiongea kingereza na wazazi wao.
Sasa hawa lugha zetu za asili(makabila) ndio kabisa hawataka wayajue kwani hata salamu ni mtihani.
Siku hizi hata ule utamaduni wa kuwapeleka watoto vijijini kwa babu na bibi zao haupo acha ule wa kuacha watoto kulelewa na babu/bibi, utamaduni uliosaidia watoto kujifunza lugha za makabila yao kwa kuongea kilugha na babu,bibi, wajomba, mashangazi na ndugu na jamaa wengine waliko vijijini.
Ukichunguza utagundua hali hii ilianza kujitokeza kidogo kidogo kwa wale waliozaliwa miaka ya 70 na kuendelea watu walipoanza kuishi katika nyumba (kota) za serikali, watu kuhamia na kujenga mijini kutoka vijijini.
Kwahiyo, katika kipindi hiki cha miaka 50, utagundua hali hii inazidi kuongezeka na hivyo ndani ya miaka 150 mpaka 200 ijayo, idadi ya watu wasiojua lugha zao za asili inaweza kuongezeka mara tatu mpaka mara nne ya hali ilivyo sasa na kuziweka lugha zetu za asili katika hatari ya kuanza kutoweka kabisa na tukabaki na kiswahili na kingereza.
Mwisho, kama ambayo leo hii tunalaumu wazungu kwa kudhoofisha mila na desturi zetu, ndivyo hivyo hivyo tutakuja kulaumu wazungu kwa kuua lugha za makabila yetu wakati chanzo ni sisi wenyewe.
Kuna uwezekano identify ya mtu mweusi itabaki kuwa ni rangi yake ya asili na pengine akili yake ikilinganishwa na akili za wenzetu.
Tatizo hili linakwenda na linaoongezeka mithili ya tatizo la climate change linaoongezeka huku jamii ikilipuuza kwasababu tu linaongezeka kidogo kidogo lakini madhara yake teyari yapo na sasa yanaanza kuwa dhahiri .
Muda utaongea.
Umefikiri vizuri mno!I agree. Na tena inawezekana tukawa na lugha moja dunia nzima huko mbeleni...
Na pia lugha ya Alama itachukua hatamu sana yaani emojiesUmefikiri vizuri mno!
Ninakubaliana na wewe kwamba huko mbeleni,kwa kusaidiwa na maendeleo na mapinduzi makubwa katika teknolojia ya habari,to be specific, kiingereza itakuwa lugha ya Dunia.
Najua kuna watu hawapendi kiingereza,lakini hiyo haibadilishi kitu! Lugha hii adhimu inazidi kukua na kusambaa kote duniani. Leo wachina wanalazimika kujibatiza majina ya kizungu ili waweze kuuza bidhaa zao duniani.
Ukichunguza vizuri historia ya wasukuma,kabila hilo halijafikisha hata miaka 800!Lugha ya kisukuma kufutika labda miaka elfu 4 ijayo.
Binafsi sioni faida ya hizo lugha
Japo mwenyewe nilitumia nguvu kubwa sana kujifunza kilugha maana wazee wangu hawakuwa wakiongea na sisi japo wote wanatoka kabila moja
Kabisa!Lugha ya kisukuma kufutika labda miaka elfu 4 ijayo.
Nilifungua uzi huu hapa chini lakini nikaishia kushambuliwa. Wazungu wameona umuhimu na wanatunza lugha za mataifa na makabila mbalimbali.Ukichunguza kwa makini utagundua moja ya athari ya watu kuhamia mijini kutoka vijijini ni vijana wengi kuzaliwa na kukulia mijini kias kwamba wengi hawapati fursa ya kujifunza lugha zao za asili kama ilivyo kwa wale wanaozaliwa vijijini waliko wazee
Wazazi wengi huku mijini wanaacha ule utamaduni wa kuwaongelesha kilugha watoto wao tangu utotoni na badala yake wakuwa wakijifunza kiswahili na wengine kingereza kwa wale wanaosoma shule hizi za kisasa.
Baadhi ya watoto hawa wengine hata kiswahili hawakijui bali wanajua zaidi kingereza kutokana na muda wote kuongea kingereza shuleni na hata wakirudi nyumbani ni ndani ya mageti huku wakiongea kingereza na wazazi wao.
Sasa hawa lugha zetu za asili(makabila) ndio kabisa hawataka wayajue kwani hata salamu ni mtihani.
Siku hizi hata ule utamaduni wa kuwapeleka watoto vijijini kwa babu na bibi zao haupo acha ule wa kuacha watoto kulelewa na babu/bibi, utamaduni uliosaidia watoto kujifunza lugha za makabila yao kwa kuongea kilugha na babu,bibi, wajomba, mashangazi na ndugu na jamaa wengine waliko vijijini.
Ukichunguza utagundua hali hii ilianza kujitokeza kidogo kidogo kwa wale waliozaliwa miaka ya 70 na kuendelea watu walipoanza kuishi katika nyumba (kota) za serikali, watu kuhamia na kujenga mijini kutoka vijijini.
Kwahiyo, katika kipindi hiki cha miaka 50, utagundua hali hii inazidi kuongezeka na hivyo ndani ya miaka 150 mpaka 200 ijayo, idadi ya watu wasiojua lugha zao za asili inaweza kuongezeka mara tatu mpaka mara nne ya hali ilivyo sasa na kuziweka lugha zetu za asili katika hatari ya kuanza kutoweka kabisa na tukabaki na kiswahili na kingereza.
Mwisho, kama ambayo leo hii tunalaumu wazungu kwa kudhoofisha mila na desturi zetu, ndivyo hivyo hivyo tutakuja kulaumu wazungu kwa kuua lugha za makabila yetu wakati chanzo ni sisi wenyewe.
Kuna uwezekano identify ya mtu mweusi itabaki kuwa ni rangi yake ya asili na pengine akili yake ikilinganishwa na akili za wenzetu.
Tatizo hili linakwenda na linaoongezeka mithili ya tatizo la climate change linaoongezeka huku jamii ikilipuuza kwasababu tu linaongezeka kidogo kidogo lakini madhara yake teyari yapo na sasa yanaanza kuwa dhahiri .
Mimi kuongelea jambo hili sasa, kutapokelewa mithili ya watu walivyopokea tatizo la climate change katika karne ya 20 wakiona ni kitu ambacho hakipo.
Muda utaongea.
Uzuri unakubali ukweli.Bado sana. Nenda umasaini kaongee nao kiswahili na kizungu.
Hata hivyo mabadiliko ni lazima. Dunia inaenda kuwa kijiji, na watakaokuwepo watazungumza lugha chache sana.
Hujielewi kabisaUkichunguza vizuri historia ya wasukuma,kabila hilo halijafikisha hata miaka 800!
Kwa kabila ambalo umri wake ni huo,unadhani kitu gani kitazuia lugha yao kupotea?
Utabiri wangu,miaka 100 mbele hakuna binadamu atakuwa anazungumza kisukuma!. Ukitaka kusikia kisukuma,wakati huo,utalazimika kwenda Bujora Sukuma Museum!
Hata nikiukataa ni ukweli.Uzuri unakubali ukweli.
Mimi nadhani hakuna haja ya kupigania vitu vingine...Ukichunguza kwa makini utagundua moja ya athari ya watu kuhamia mijini kutoka vijijini ni vijana wengi kuzaliwa na kukulia mijini kias kwamba wengi hawapati fursa ya kujifunza lugha zao za asili kama ilivyo kwa wale wanaozaliwa vijijini waliko wazee
Wazazi wengi huku mijini wanaacha ule utamaduni wa kuwaongelesha kilugha watoto wao tangu utotoni na badala yake wanakuwa wakijifunza kiswahili na wengine kingereza kwa wale wanaosoma shule hizi za kisasa.
Baadhi ya watoto hawa wengine hata kiswahili hawakijui bali wanajua zaidi kingereza kutokana na muda wote kuongea kingereza shuleni, na hata wakirudi nyumbani ni ndani ya mageti huku wakiongea kingereza na wazazi wao.
Sasa hawa watoto lugha zetu za asili(makabila) ndio kabisa hawataka wayajue kwani hata salamu tu ni mtihani.
Siku hizi hata ule utamaduni wa kuwapeleka watoto vijijini kwa babu na bibi zao haupo acha ule wa kuacha watoto kulelewa na babu/bibi, utamaduni uliosaidia watoto kujifunza lugha za makabila yao kwa kuongea kilugha na babu,bibi, wajomba, mashangazi na ndugu na jamaa wengine waliko vijijini.
Ukichunguza utagundua hali hii ilianza kujitokeza kidogo kidogo kwa wale waliozaliwa miaka ya 70 na kuendelea watu walipoanza kuishi katika nyumba (kota) za serikali, watu kuhamia na kujenga mijini kutoka vijijini.
Kwahiyo, katika kipindi hiki cha miaka 50, utagundua hali hii inazidi kuongezeka na hivyo ndani ya miaka 150 mpaka 200 ijayo, idadi ya watu wasiojua lugha zao za asili inaweza kuongezeka mara tatu mpaka mara nne ya hali ilivyo sasa na kuziweka lugha zetu za asili katika hatari ya kuanza kutoweka kabisa na tukabaki na kiswahili na kingereza.
Mwisho, kama ambayo leo hii tunalaumu wazungu kwa kudhoofisha mila na desturi zetu, ndivyo hivyo hivyo tutakuja kulaumu wazungu kwa kuua lugha za makabila yetu wakati chanzo ni sisi wenyewe.
Kuna uwezekano identify ya mtu mweusi itabaki kuwa ni rangi yake ya asili na pengine akili yake ikilinganishwa na akili za wenzetu.
Tatizo hili linakwenda na linaoongezeka mithili ya tatizo la climate change linaoongezeka huku jamii ikilipuuza kwasababu tu linaongezeka kidogo kidogo lakini madhara yake teyari yapo na sasa yanaanza kuwa dhahiri .
Mimi kuongelea jambo hili sasa, kutapokelewa mithili ya watu walivyopokea tatizo la climate change katika karne ya 20 wakiona ni kitu ambacho hakipo.
Muda utaongea.
Watoto wa Lissu hawajui kinyiramba kama ambavyo watoto wa Mbowe wasivyojua kichaga. Uko sahihi kamandaUkichunguza kwa makini utagundua moja ya athari ya watu kuhamia mijini kutoka vijijini ni vijana wengi kuzaliwa na kukulia mijini kias kwamba wengi hawapati fursa ya kujifunza lugha zao za asili kama ilivyo kwa wale wanaozaliwa vijijini waliko wazee
Wazazi wengi huku mijini wanaacha ule utamaduni wa kuwaongelesha kilugha watoto wao tangu utotoni na badala yake wanakuwa wakijifunza kiswahili na wengine kingereza kwa wale wanaosoma shule hizi za kisasa.
Baadhi ya watoto hawa wengine hata kiswahili hawakijui bali wanajua zaidi kingereza kutokana na muda wote kuongea kingereza shuleni, na hata wakirudi nyumbani ni ndani ya mageti huku wakiongea kingereza na wazazi wao.
Sasa hawa watoto lugha zetu za asili(makabila) ndio kabisa hawataka wayajue kwani hata salamu tu ni mtihani.
Siku hizi hata ule utamaduni wa kuwapeleka watoto vijijini kwa babu na bibi zao haupo acha ule wa kuacha watoto kulelewa na babu/bibi, utamaduni uliosaidia watoto kujifunza lugha za makabila yao kwa kuongea kilugha na babu,bibi, wajomba, mashangazi na ndugu na jamaa wengine waliko vijijini.
Ukichunguza utagundua hali hii ilianza kujitokeza kidogo kidogo kwa wale waliozaliwa miaka ya 70 na kuendelea watu walipoanza kuishi katika nyumba (kota) za serikali, watu kuhamia na kujenga mijini kutoka vijijini.
Kwahiyo, katika kipindi hiki cha miaka 50, utagundua hali hii inazidi kuongezeka na hivyo ndani ya miaka 150 mpaka 200 ijayo, idadi ya watu wasiojua lugha zao za asili inaweza kuongezeka mara tatu mpaka mara nne ya hali ilivyo sasa na kuziweka lugha zetu za asili katika hatari ya kuanza kutoweka kabisa na tukabaki na kiswahili na kingereza.
Mwisho, kama ambayo leo hii tunalaumu wazungu kwa kudhoofisha mila na desturi zetu, ndivyo hivyo hivyo tutakuja kulaumu wazungu kwa kuua lugha za makabila yetu wakati chanzo ni sisi wenyewe.
Kuna uwezekano identify ya mtu mweusi itabaki kuwa ni rangi yake ya asili na pengine akili yake ikilinganishwa na akili za wenzetu.
Tatizo hili linakwenda na linaoongezeka mithili ya tatizo la climate change linaoongezeka huku jamii ikilipuuza kwasababu tu linaongezeka kidogo kidogo lakini madhara yake teyari yapo na sasa yanaanza kuwa dhahiri .
Mimi kuongelea jambo hili sasa, kutapokelewa mithili ya watu walivyopokea tatizo la climate change katika karne ya 20 wakiona ni kitu ambacho hakipo.
Muda utaongea.
Mimi nimeamua kulisema hili mapema ili lika kutokea, tusianze kulaumu wasiohusika na pia lisitushangaze.Mimi nadhani hakuna haja ya kupigania vitu vingine...
Kama kitaishi kiache kiishi. Ikishibdikana poa. Kwani vingapi vilikuweko kitambo leo havipo..?
Lugha zote zife tu na makabila yote yapote tuBinafsi sioni faida ya hizo lugha
Japo mwenyewe nilitumia nguvu kubwa sana kujifunza kilugha maana wazee wangu hawakuwa wakiongea na sisi japo wote wanatoka kabila moja
Ukichunguza kwa makini utagundua moja ya athari ya watu kuhamia mijini kutoka vijijini ni vijana wengi kuzaliwa na kukulia mijini kias kwamba wengi hawapati fursa ya kujifunza lugha zao za asili kama ilivyo kwa wale wanaozaliwa vijijini waliko wazee
Wazazi wengi huku mijini wanaacha ule utamaduni wa kuwaongelesha kilugha watoto wao tangu utotoni na badala yake wanakuwa wakijifunza kiswahili na wengine kingereza kwa wale wanaosoma shule hizi za kisasa.
Baadhi ya watoto hawa wengine hata kiswahili hawakijui bali wanajua zaidi kingereza kutokana na muda wote kuongea kingereza shuleni, na hata wakirudi nyumbani ni ndani ya mageti huku wakiongea kingereza na wazazi wao.
Sasa hawa watoto lugha zetu za asili(makabila) ndio kabisa hawataka wayajue kwani hata salamu tu ni mtihani.
Siku hizi hata ule utamaduni wa kuwapeleka watoto vijijini kwa babu na bibi zao haupo acha ule wa kuacha watoto kulelewa na babu/bibi, utamaduni uliosaidia watoto kujifunza lugha za makabila yao kwa kuongea kilugha na babu,bibi, wajomba, mashangazi na ndugu na jamaa wengine waliko vijijini.
Ukichunguza utagundua hali hii ilianza kujitokeza kidogo kidogo kwa wale waliozaliwa miaka ya 70 na kuendelea watu walipoanza kuishi katika nyumba (kota) za serikali, watu kuhamia na kujenga mijini kutoka vijijini.
Kwahiyo, katika kipindi hiki cha miaka 50, utagundua hali hii inazidi kuongezeka na hivyo ndani ya miaka 150 mpaka 200 ijayo, idadi ya watu wasiojua lugha zao za asili inaweza kuongezeka mara tatu mpaka mara nne ya hali ilivyo sasa na kuziweka lugha zetu za asili katika hatari ya kuanza kutoweka kabisa na tukabaki na kiswahili na kingereza.
Mwisho, kama ambayo leo hii tunalaumu wazungu kwa kudhoofisha mila na desturi zetu, ndivyo hivyo hivyo tutakuja kulaumu wazungu kwa kuua lugha za makabila yetu wakati chanzo ni sisi wenyewe.
Kuna uwezekano identify ya mtu mweusi itabaki kuwa ni rangi yake ya asili na pengine akili yake ikilinganishwa na akili za wenzetu.
Tatizo hili linakwenda na linaoongezeka mithili ya tatizo la climate change linaoongezeka huku jamii ikilipuuza kwasababu tu linaongezeka kidogo kidogo lakini ma
Hizo lugha zitoweke tu tubaki na lugha moja ya Taifa. Nafikiri itasaidia kupunguza majivuno, dharau, chuki nk. Hivi hapa JF kama kila mtu angekuwa anaweka bandiko kwa lugha yake ya asili ingekuwaje?Ukichunguza kwa makini utagundua moja ya athari ya watu kuhamia mijini kutoka vijijini ni vijana wengi kuzaliwa na kukulia mijini kias kwamba wengi hawapati fursa ya kujifunza lugha zao za asili kama ilivyo kwa wale wanaozaliwa vijijini waliko wazee
Wazazi wengi huku mijini wanaacha ule utamaduni wa kuwaongelesha kilugha watoto wao tangu utotoni na badala yake wanakuwa wakijifunza kiswahili na wengine kingereza kwa wale wanaosoma shule hizi za kisasa.
Baadhi ya watoto hawa wengine hata kiswahili hawakijui bali wanajua zaidi kingereza kutokana na muda wote kuongea kingereza shuleni, na hata wakirudi nyumbani ni ndani ya mageti huku wakiongea kingereza na wazazi wao.
Sasa hawa watoto lugha zetu za asili(makabila) ndio kabisa hawataka wayajue kwani hata salamu tu ni mtihani.
Siku hizi hata ule utamaduni wa kuwapeleka watoto vijijini kwa babu na bibi zao haupo acha ule wa kuacha watoto kulelewa na babu/bibi, utamaduni uliosaidia watoto kujifunza lugha za makabila yao kwa kuongea kilugha na babu,bibi, wajomba, mashangazi na ndugu na jamaa wengine waliko vijijini.
Ukichunguza utagundua hali hii ilianza kujitokeza kidogo kidogo kwa wale waliozaliwa miaka ya 70 na kuendelea watu walipoanza kuishi katika nyumba (kota) za serikali, watu kuhamia na kujenga mijini kutoka vijijini.
Kwahiyo, katika kipindi hiki cha miaka 50, utagundua hali hii inazidi kuongezeka na hivyo ndani ya miaka 150 mpaka 200 ijayo, idadi ya watu wasiojua lugha zao za asili inaweza kuongezeka mara tatu mpaka mara nne ya hali ilivyo sasa na kuziweka lugha zetu za asili katika hatari ya kuanza kutoweka kabisa na tukabaki na kiswahili na kingereza.
Mwisho, kama ambayo leo hii tunalaumu wazungu kwa kudhoofisha mila na desturi zetu, ndivyo hivyo hivyo tutakuja kulaumu wazungu kwa kuua lugha za makabila yetu wakati chanzo ni sisi wenyewe.
Kuna uwezekano identify ya mtu mweusi itabaki kuwa ni rangi yake ya asili na pengine akili yake ikilinganishwa na akili za wenzetu.
Tatizo hili linakwenda na linaoongezeka mithili ya tatizo la climate change linaoongezeka huku jamii ikilipuuza kwasababu tu linaongezeka kidogo kidogo lakini madhara yake teyari yapo na sasa yanaanza kuwa dhahiri .
Mimi kuongelea jambo hili sasa, kutapokelewa mithili ya watu walivyopokea tatizo la climate change katika karne ya 20 wakiona ni kitu ambacho hakipo.
Muda utaongea.
Nakubaliana nawe kuhusu Utumwa wa fikra kiasi cha kutukuza ugeni. Lakini kwa Tz si suala la ushamba, bali ni utaifa. Tumetumia nguvu na muda mkubwa kutengeneza taifa moja. Sisi ni taifa. Hao wanaijeria hawana taifa, ni mkusanyiko wa nchi nyingi ndani ya mpaka mmoja.ni ushamba tu wa watanzania nenda makabila ya kinigeria kama igbo,yoruba,hausa njoo kenya kama kikuyu,luo,kalenjin n.k nenda south africa kama zulu,khoxa n.k daima mtoto lazima aijue asili yake kwa vitendo ikiwa ni pamoja na kuiongea lugha yake ya asili fluently bila kigugumizi chochote na amesoma kweli kweli
hapa tanzania tu hasa kwa makabila ambayo hayajielewi ndio yatapoteza identity pakubwa sana pia baadhi nchi zisizojielewa kweli zitapoteza identity na ndio itakuwa mwanzo wa utumwa wa kiakili na identity nyingine kama kizungu kuziona ndio bora