Hii nimeisikia DW matangazo ya mchana huko Gabon mwanamke mwenye umri wa miaka21 anadai kutengwa na kunyang'anywa mali za urithi baada ya mme wake kufariki... Mama huyua anasema ana watoto wawili mkubwa ana umri wa miaka 9, hii ina maana alimpta akiwa na miaka 12 jamani hii kitu inawezekana kweli ama kadanganya umri..?????? mtoto wa miaka 12 kweli mwili uko tayari kwa mimba