Miaka 12 tu na mtoto tayari.......

Magoo

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
445
72
Hii nimeisikia DW matangazo ya mchana huko Gabon mwanamke mwenye umri wa miaka21 anadai kutengwa na kunyang'anywa mali za urithi baada ya mme wake kufariki... Mama huyua anasema ana watoto wawili mkubwa ana umri wa miaka 9, hii ina maana alimpta akiwa na miaka 12 jamani hii kitu inawezekana kweli ama kadanganya umri..?????? mtoto wa miaka 12 kweli mwili uko tayari kwa mimba
 
Inawezekana....
Kuna msichana namfahamu alibakwa akapata mimba...she is on her early 20s na ana mtoto mwenye umri wa miaka nane!
 
yap hiyo ina wezekana sana,,, bila wasi wasi wowote,,,coz mika 12 baadhi ya wanawake washaanza menstrual circle, hiii inategemea na mazingira anyoishi, diet, na regulations za hormons zake, kwa hiyo wengine huwahi na wengine huchelewa...ila miaka 12 ni very rare, maranyingi hutokea kwa wa miaka 13 hadi 16, ila ndo uwezekana upo zaid ya asilimia 50.
 
Inategemeana na ukuaji wake wa mwili ukoje, navo fahamu kuna wanaowahi kuvunja ungo kuanzia miaka 11-15 wanakuwa wamepevuka,
 
wakati wa kujifungua inakuwaje hivi vagina yake kweli mtoto atapita vipi ama lazima afanyiwe operation coz kitoto cha hivyo hata penis kupenya si rahisi.......
 
soma gazeti la jana la udaku la amani, aisha madinda sijui ni mwanamuziki wa bendi fulani hivi kasema alizaa na miaka 12 na kapiga picha yuko na wanawe wakubwa tu
 
ok let m chek da story ingawaje haya magazeti ya udaku uongo mwing.........
 
Kweli wapo hata hapa Tanzania.Ukitaka pata majibu mazuri tembelea mji wa Ifakara utapata majibu yako kiurahisi sana.miaka14 ana watoto wawili.
 
Si ajabu! hivi vitoto vya siku hizi vikifika miaka 7 tu vinaomba access ya jukwaa la maria roza. Mimi nakajua kamoja tangia kana miaka 11 kanaleta kiumbe duniani kila mwaka.
 
Back
Top Bottom