Miaka 100 ya Uhuru wa Tanzania

ZINDAGI

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
1,116
1,422
Nipo naandika hapa, najua sitakua hai muda huo ukifika, lkn ningependa kujifikirisha maendeleo tutakayokua nayo siku ya kilele cha kusherehekea miaka 100 ya Uhuru wa Tanzania.

1.Daraja la kwenda na kurudi Zanzibar lazinduliwa.
2.Kiwanda cha kutengeneza magari Tanzania, tutayaita Twiga
3.Treni za umeme zenye kasi ya 500km/hr za zinduliwa
4.Maji ya Ziwa victoria yaletwa Dar Es salaam
5.Mtambo wa kuzalisha umeme wa Nyuklia wenye uwezo wa Megawatt 10,000 huko Songea
6.Dar Es Salaam Airport yahudumia ndege zaidi ya 200 kwa siku.
7.Tanzania yabeba kombe la dunia la mpira wa miguu mara 2
8.Tunalisha dunia kwa kilimo chenye tija.
9.Tanzania tumeanzisha green Card, kupata labor force.

Think positively, endeleza ya kwako.
 
Yote yanawezekana ata sasa kama ubinafsi, uchu wa madaraka, ufisadi, ushabiki utatokomezwa lakin kama tukiwa na akili hiz hiz kama za sasa ata tufikishe miaka 10000 bado tutakuwa nyuma.

10:huduma za afya ni bure na zauwakika
11. 1$ = 150Tsh
12: hakuna tena wakuu wa mikoa na wilaya.
13: kwenye maonesho ya sabasaba TESLA kakodi chumba (kipindi hicho itakuwa sio mabanda tena utajengwa ukumbi special) kwaajir ya kuonesha bidhaa zake
 
Ni kweli kabisa unachosema
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom