lyinga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 2,496
- 1,035
Ndugu zangu naikumbuka sana miaka aliyoongoza rais Mh Benjamini Mkapa, maji, umeme, nauli, mchele , unga, sukari, kodi za nyumba alhamdullah walalahoi tuliona unafuu wa maisha mwenyezi Mungu ampe maisha marefu Mh Mkapa japo atakuwa na machache ambayo si mazuri yaliyofanywa chini ya uongozi wake binadamu hatujakamilika kwa yote.
Swali naomba kuuliza nini kilichomshinda Mh Rais wa awamu hii ya nne kututoa kwenye ahueni ya maisha mpaka kututupa huku kwenye pori lililojaa ndezi bila hata viatu?
Maisha Tanzania yamekuwa ya kuvizia kama chui na swala.
Hembu tuulizane wandugu ni nini kilichowashinda hawa viongozi wa sasa kutuacha wananchi tukitaabika namna hii au ndio tunaishi nchi ya kusadikika?