Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,095
- 2,429
Miaka 10 ya Kikwete moja ya vitu nlivyokuwa nakwepa visitokee kwangu kabisa ilikuwa isije ikatokea nikasikia hotuba yake nilijitahidi sana maana kiukweli hotuba zake zilikuwa hazina maana kwangu kabisa na siku moja ilitokea nikiwa natoka chuo nimepanda dala daladala humo wakaweka hotuba ya ndugu Kikwete nilipata kichefu chefu na tumbo la kuhara ghafla.
Nikawaza watu wanawezaje? Mi nilishindwa, nilishindwa kabisa kutokana na hali ilivyokuwa nikaomba nishushwe kituo kinachofuata. Nikashuka nikaenda kutapika nakumbuka ilikuwa ni karibu na hall 4 na pia nikaenda msalani. Nilijuta sana kwa hali ile nikiwa mwaka wa tatu nikakuta msichana mmoja ambaye nilikuwa nampenda akiwa amekaa bwenini anasikiliza hotuba ya Kikwete nilimwambia yule dada ata disco maskini.
Kweli mitihani iliyokuja aka disco alinipigia siku hiyo akinilaani sana na bahati mbaya zaidi nilikuwa nimeshaachana naye kwa kipindi hicho baada ya kuona ni msichana ambaye hana uelewa kabisa. Yule dada alikuwa jinga kabisa, nilishangaa sana mwanachuo kabisa anasikiliza hotuba kana kwamba hajui kuna UE? Ali disco akarudi kwao sijui nini kiliendelea.
Mungu saidia lile balaa likaisha tulilokuwa nalo miaka ile siku hazigandi ati walijisemea waswahili na hata zikiganda kidogo tu zinayayuka mwaka 2015 akachaguliwa mtukufu rais mh. Dr nikasema ngoja nisikilize hotuba zake. nikajikuta napata maumivu ya kichwa nilikuwa kama nachanganyikiwa hivi.
Naposikiliza maneno yake maana sielewi wakati mwingine kama yanavyosemwa ndivyo yalivyokusudiwa nikawa napotaka kusikiliza nakuwa na dawa za maumivu kichwa kinauma, kichwa kinauma lakini angalau namsikiliza hivyo hivyo kuwa humo ndani nitachagua yanayonifaa mengine niwaachie yanayowafaa mwenda bure si sawa na mkaa bure siku moja nikawaza kama ndo hivi wanavyosema hawa kuwa hivi anavyosema huyu si vile ilivyotakiwa kusemwa naye basi nimshauri nini?
Nikawaza labda awe anajinyamazia tu, kama leo akienda kufungua jambo flani si anatakiwa akate "utepe" aombe mkasi apige mkasi halafu apunge mikono tu huku akitabasamu au kama ana maneno awe anayasema kimoyomoyo ajiondokee zake akatulie home, aangalie tv au kucheza game, kama ni mpenzi wa game najiuliza lini nitatamani kusikiliza hotuba ya mh. wangu nikiwa na juice na pop corn? Ni lini? Badala ya miaka ile kuwa na mifuko ya kutapikia na miaka hii kuwa na dawa za kupunguza maumivu?
Nikakumbuka lile tangazo "maumivu ya kichwa huanza pole pole, na baadaye unayasikia maumivu makali kupita kiasi, maumivu si mzaha na matibabu yake ni lazima yawe ya haraka na yenye kufaa zaidi. Ndiyo maana wakavumbua halafu wanamalizia xxx maumivu yakizidi, kamwone daktari.