Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,408
- 31,392
Mkuu ilipokuwa JamboForum niliwahi kupata hali tata, ikabidi nianze kuzunguka kama guest huko kwingineHiyo habari imenistua sana
ni vizuri Max na uongozi wa JF uwe unampa member taarifa iwapo polisi wanashinikiza atajwe
Sina uhakika ilikuwa ''incident au coincidence'' sina jibu
Tunaposikia hizi habari za Polisi kutaka info, inatisha.
Unajua ule mswada wa mtandao haukulenga kitu kingine isipokuwa JF.
Na unajua JF ilihujumiwa wakati wa uchaguzi na wahujumu wengine wana vyeo vikubwa( sio vibarua 46)
Kinachoshangaza, wanatamani kutumbua majipu, wanaonyeshwa majipu yalipo, hawataki kusikia habari za majipu!
Viongozi waovu wanaichukia sana JF, viongozi wema wanaipenda sana kwasababu ina akisi nini jamii inafikiri au kusema kuhusu jamii hiyo hiyo!