Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa kumbe wa long time kwenye social media!Safi na hongera sana!
Mimi nilikuwa darhotwire....kule kulikuwa na jukwaa linaitwa 'mapenzi mahusiano na urafiki' 'MMU'
kipindi hiko hata Jamboforums ilikuwa inavuma kwa siasa
kule darhotwire mtu akileta siasa tu anaambiwa 'nenda jamboforums'
tuondolee siasa
ukiingia Jamboforums kulikuwa hakuna jukwaa la MMU bado
mtandao mwingine ulikuwa eastafrican.com kama sikosei...
ilipoanza kufa darhotwire ndo tukahamia huku wengine
na jukwaa la MMU huku likaanzishwa
Moja ya kitu nakumbuka ni jinsi 'wapwaz' walivyoilazimisha JF ianzishe jukwaa la chit chat
kwa tabia ya kuanzisha story hasa kwenye thread ya mtu MMU
Mkuu kwa ukongwe wako, huawahi kupata msuko suko wowote uliosababishwa na JF ??
nina memory nyingi sana JF....
it has been fun....a lot of fun.....na kujifunza mengi.....
We jamaa kumbe wa long time kwenye social media!
YoungAfricans uliwahi kuwepo?
hapa nlipo on air!!To some, JF has been nothing short of a lifesaver!
Misuko suko ! kuna wakati mtandao ukaitwa wa kigaidi ilimradi tu kukatisha watu tamaa.
Nashangaa leo hii bado wanaiandama JF. Kwa kiongozi makini, JF ina akisi mitazamo ya jamii
Utasikia 'tusaidieni' kufichua maovu, nyuma ya pazia wamiliki wanalazimishwa kutoa habari kama inavyoonekana uzi wa mahakamani leo.
Long live JF
Tawire mkuu, hi ni jambo la muhimu sana. Max wapeni watu taarifa ikitokea kabla ya mabwePHiyo habari imenistua sana
ni vizuri Max na uongozi wa JF
uwe unampa member taarifa iwapo polisi wanashinikiza atajwe
Invisible .... ili mtu ujue kuwa umewaudhi watu..tuishi kwa tahadhari
Tawire mkuu, hi ni jambo la muhimu sana. Max wapeni watu taarifa ikitokea kabla ya mabweP
Kinachosikitisha mbele wanasema saidieni kufichua maouvu, nyuma ya pazia wanavizia wanaowasaidia!
Aisee miaka 10 si mchezo,mi nilianza JF siku moja kuna kitu nilikuwa nagugo mtandaoni mwaka 2008 hiyo kikaja ila kupitia JF nilivyoendelea kufuatilia zaidi nikaona vitu vitamu zaidi ila miaka kama 3 hivi nikawa naingia kama Guest sababu sikuweza kujiunga ila tokea hapo nikawa nondo sana kwa mambo mbalimbali hasa yahusuyo siasa mpaka rafiki zangu wakawa wananishangaa,ila kufikia 2012 nikajiunga rasmi nikawa nakomenti mdogo mdogo...........yote kwa yote Long live JF na wakongwe wooote......na mafounder wake kina Max...Nilikuwa napita kama guest tu...
Umenifurahisha kuhusu chimbuko la "Chit Chat".......Mimi nilikuwa darhotwire....kule kulikuwa na jukwaa linaitwa 'mapenzi mahusiano na urafiki' 'MMU'