Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

Gwajima na mataga mtabaki midomo wazi mapema sana kabla ibada ya kwanza haijatoka 🤣
Ukimpenda Halima kanye naye chai.
Kazi za umma kashindwa vibaya, waste of oppurtinties kuchagua tena mtu ambaye hawezi kushirikiana na serikali kutatua kero za wana Kawe.
 
Kabla ya kuingia halima mdee kawe mbunge wa kawe alikuwa anatoka chama gan??? Hivi wapinzani wakiingia kwenye majimbo ndiyo maendeleo yanaondoka?? Kwa ufupi huo ni ufinyu wa kufikiri kabisa kwa kudhan mbunge kupitia ccm akiingia jimboni ndo utapata maendeleo. Kazi yetu ni kusikiliza sera na kuchagua mtu sahihi kabisa kwa mustakabali wa wapiga kura. Lakin kwa kawe kumchagua huyu mcheza ngoma ni kujidanganya kabisa. Hili nalisema leo lakin kumbukeni mtakuja humu humu tena kulalamika
Unauliza jibu?
Nenda Temeke, Tandika na Kijichi uone wabunge wenziwe wamefanya nini kwa kushirikiana na serikali.
 
GWAJIMA YUPI?? huyu aliyeshindwa kujenga hata kanisa lake ataweza kujenga barabara za Kawe??? Ajenge kwanza kanisa maana liko kama banda la kuku
 
ameshindwa nn na wenye mamlaka ni nyie mnaojenga chato withno reasons na kuyatenga maeneo yenye uhitaji wa msingi
Jibu lako halina mashiko.
Unaulizwa Kawe unajibu Chato!
Ukimpenda Halima aliyeshindwa kushawishi serikali kujenga barabara Kawe, nenda kanywe naye chai!
 
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.

Ni kwasababu serikali ya CCM haitaki kupeleka maendeleo kwenye jimbo la mpinzani. Lakini wananchi hawatatishwa na hili.
 
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.

Barabara karibu zote katika maeneo ya Oyster-bay, Masaki, Msasani na Mikocheni ambayo yako katika jimbo la Kawe zina lami.

Barabara karibu zote katika majimbo ya Segerea, Ukonga na Kigamboni ambayo yalikuwa na wabunge wa CCM ni mbuvu; zimejaa mahandaki.

Unasemaje hapo?
 
Waidhinishaji miradi karibu wote wanaishi Oysterbay.
Sisi masikini tunahitaji mbunge shupavu anayeweza kuwashawishi watuone na sisi wavuja jasho.
Kazi hiyo kwa miaka 10 Halima ameshindwa kuwashawishi Wakubwa watujengee barabara Kawe.
Halima hawezi kazi na kachoka, you cannot teach an old dog new tricks.
 
Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna.
Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa.

Nimeishi jimbo ka Kawezaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke, hali ya Kawe inatisha.
Tunahisi Mdee aidha hawezi kazi yake kushawishi serikali kuleta hayo maendeleo muhimu ya miundombinu ya barabara, au tu kwamba hafai.

Kwa muda wote huo sijamwona huku mitaani akipita kusikiliza kero kubwa za wananchi hususan barabara.

Huwa narudi Temeke, Tandika na Kijichi na huwezi kuamini.
Barabara mpya maeneo hayo ni zaidi ya kilometa 100, na zinapita hadi uchochotoni.

Tatizo lipo kwa muwakilishi wetu, Halima Mdee.
Tusichague vyama tuchaguemtu awezaye kuleta maendeleo ya barabara.
Watu wasichague kwa mazoea, chagua Gwajima tupate mabadiliko na maendeleo.
Hata waliomchagua Trump si kwamba wanampenda, wamemchagua kwa maslahi ya maendeleo yao.

Wana Kawe tuwe strategic, chagua Gwajima.

Huyo Gwajima hafai, hata mbuzi wa kawe hawamtaki. Kama huamini check hii clip hapa chini.
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/09/2523833_VID-20200919-WA0131.mp4
 
Kawaambie hivyowana Kawe, Halima ameshindwa kuiamsha Serikali jimboni Kawe.Gwajima nina uhakika ataiamsha Serikali.

Mkuu Askofu kwanza ajenge Kanisa la waumini wake. Charity starts at home :cool:

Vipi uko tayari kupanda Train ya Gwajima kuelekea Airport kwa ajili ya safari ya Birmingham? Au bado?

Mama Tanzania ataendelea kuwepo tuu hata baada ya uchaguzi...tupendane na kuheshimiana.

Pamoja sana!
 
Waidhinishaji miradi karibu wote wanaishi Oysterbay.
Sisi masikini tunahitaji mbunge shupavu anayeweza kuwashawishi watuone na sisi wavuja jasho.
Kazi hiyo kwa miaka 10 Halima ameshindwa kuwashawishi Wakubwa watujengee barabara Kawe.
Halima hawezi kazi na kachoka, you cannot teach an old dog new tricks.

…….... Unataka kuniambia kwamba majimbo yenye wawakilishi wa CCM yana hali nzuri kuliko yenye wabunge wa upinzani? Really? unaweza ukalisemea hili toka moyoni mwako?

Jimbo letu tangu nazaliwa tumeichagua CCM.....na hata kipindi hiki nadhani mbunge atapita bila kupingwa. Lakini naamini ni katika majimbo yenye ufukara kuliko majimbo mengi sana Tanzania. Hata kufikika halifikiki kwa sababu hatuna barabara. Kuna majimbo mengi sana ya wapinzani yana nafuu kuliko sisi! Sasa labda mtupe kigezo kingine... Maana tumeshakuwa malofa mpaka basi..

Kiukweli kama Jehanam ipo na uongo ni dhambi, basi bado naamini wanasiasa wengi sana watachomwa moto kwanza kabla yetu sisi walala hoi!

Mungu ibariki Tanzania.
 
Unauliza jibu?
Nenda Temeke, Tandika na Kijichi uone wabunge wenziwe wamefanya nini kwa kushirikiana na serikali.
We jamaa wa ajabu sana, unaniambia majimbo ambayo yanaendeshwa na ccm hivi zinakutosha kweli? Wabunge mmewanunua. Kazi yenu ni kurubuni wabunge wa upinzani na kuwanunua. Hao wanaitwa wabunge nusu upinzani na nusu ccm hawana maana kwa wananchi
 
Mkuu Askofu kwanza ajenge Kanisa la waumini wake. Charity starts at home :cool:

Vipi uko tayari kupanda Train ya Gwajima kuelekea Airport kwa ajili ya safari ya Birmingham? Au bado?

Mama Tanzania ataendelea kuwepo tuu hata baada ya uchaguzi...tupendane na kuheshimiana.

Pamoja sana!
Mkimpenda Halima kanyweni naye chai.
Miaka kumi bado ni tasa, hafai!
 
Back
Top Bottom