Miaka 10 baadae, Unakumbuka nini kutoka katika Fainali hii?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,851
5,860
Katika dimba la Luzhniki, pale jijini Moscow, miaka 10 iliyopita ilipigwa fainali ya aina yake.
Fainali ya Uefa Champions League, ambapo ilikutanisha timu mbili kutoka Uingereza. Man Utd Vs Chelsea. Dakika 90, ziliisha kwa 1-1 mtanange ukaelekea extra time bado ikawa 1-1.
Mechi ikaingia ktk changamoto ya penati, Man Utd ikashinda 6-5 dhidi ya Chelsea huku Nahodha wa Chelsea John Terry akikosa penati muhimu. Unakumbuka ulikuwa wapi? Unakumbuka nini?
Karibuni...
300px-Man_Utd_vs_Chelsea_2008-05-21.svg.png
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom