Mbona kazi unayo tayari. Kazi yako ni KUTAFUTA KAZI 🤣Bado sijafanikiwa
AiseeMbona kazi unayo tayari. Kazi yako ni KUTAFUTA KAZI 🤣
Kaka Mimi naweza kufanya hiyo manual work napatikana Mbagala Dar es Salaam kama unaweza kuniconnect nakupm namba yangu mkuuUnaweza fanya manual work ya mshahara 180K Kwa mwezi.
Ttz la Kwanza ni wewe mwenyewe ulipoxhagua cha kusomea bila kujiuliza utapata wapi kazi?Nimemaliza shahada ya Utamaduni na Utalii (Cultural Anthropology and Tourism)
Naishi Dar es Salaam.
Ni miaka zaidi ya kumi sasa imepita bado nahangaika na maisha. Nimekuja hapa kuomba msaada wa kazi kwa yoyote atakayeguswa
Uzoefu:
Baada ya hapo nimejaribu kufanya biashara ila kwa sasa naona mambo ni magumu sana
- Customer Services Represantantive
- Sales Executive
Kwa yoyote mwenye connection anisaidie mwenzenu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote nje ya taaluma yangu.
Natanguliza shukrani zenu.
Hata wewe unaweza kunisaidiaUzi una Views 80,000+
Replies 140+
Hakuna aliyetimiza hitajio la mtoa uzi.
Nikae kimya mie nisije pigwa ban.
Twende tukauze chakula mjiniHata wewe unaweza kunisaidia
Ni keBro Pole sana kaza itawezekana siku Moja.
Isije ikawa na wewe umeajiriwa.Kwa hiyo ikifika 20 bado utaendelea kutafuta ajira,ndugu kama umeishi miaka 10 bila ajira hujafa kwanini usifikirie kuishi maisha yako bila kufikiria ajira,hebu fikiri ungeanza kitu chochote kidogokidogo leo ungekuwa wapi.
Una uhusiano gani,ikiwa nimeajiriwa au waajiriwa hawawezi kukushauri?Isije ikawa na wewe umeajiriwa.
Wanaweza.Una uhusiano gani,ikiwa nimeajiriwa au waajiriwa hawawezi kukushauri?
Usikate tamaa, endelea ku apply huku ukijishughulisha na kazi nyingine pia usisahau ibada, Tena kipindi hichi Cha kwaresma funga mlango utafungukaHata wewe unaweza kunisaidia
Ahsante kwa kunipa moyoUsikate tamaa, endelea ku apply huku ukijishughulisha na kazi nyingine pia usisahau ibada, Tena kipindi hichi Cha kwaresma funga mlango utafunguka
Never give up na usisahau sala, Mimi mwenyewe nimekula msoto, ila sikuchoka ku apply na kusali mlango ukafunguka. Vitu vingine huwa ka vifungo tu aisee.Ahsante kwa kunipa moyo
Ilifika miaka 5Never give up na usisahau sala, Mimi mwenyewe nimekula msoto, ila sikuchoka ku apply na kusali mlango ukafunguka. Vitu vingine huwa ka vifungo tu aisee.
ahsante kwa ushauriBora ukabadili gia angani ukaingia kwenye short course kama ushonaji nk ili maisha yasonge.. kipindi hiki graduates ni wengi kuliko ajira za kuajiriwa.