Miaka 10 baada ya kumaliza chuo bado sina kazi

liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
947
500
Nimemaliza shahada ya Utamaduni na Utalii (Cultural Anthropology and Tourism)

Naishi Dar es Salaam.

Ni miaka zaidi ya kumi sasa imepita bado nahangaika na maisha. Nimekuja hapa kuomba msaada wa kazi kwa yoyote atakayeguswa

Uzoefu:
  • Customer Services Represantantive
  • Sales Executive
Baada ya hapo nimejaribu kufanya biashara ila kwa sasa naona mambo ni magumu sana

Kwa yoyote mwenye connection anisaidie mwenzenu.

Nipo tayari kufanya kazi yoyote nje ya taaluma yangu.

Natanguliza shukrani zenu.
Ttz la Kwanza ni wewe mwenyewe ulipoxhagua cha kusomea bila kujiuliza utapata wapi kazi?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
791
1,000
Uzi una Views 80,000+
Replies 140+

Hakuna aliyetimiza hitajio la mtoa uzi.

Nikae kimya mie nisije pigwa ban.
 

Diba

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
1,348
2,000
Kwa hiyo ikifika 20 bado utaendelea kutafuta ajira,ndugu kama umeishi miaka 10 bila ajira hujafa kwanini usifikirie kuishi maisha yako bila kufikiria ajira,hebu fikiri ungeanza kitu chochote kidogokidogo leo ungekuwa wapi.
 

IGADESA

Member
Jan 15, 2021
73
150
Bora ukabadili gia angani ukaingia kwenye short course kama ushonaji nk ili maisha yasonge.. kipindi hiki graduates ni wengi kuliko ajira za kuajiriwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom