Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,810
109,088
betwee26.jpg



 
Mh! Mamdogo usiseme "miafrika" unakosea....tuna haki zote za kuitwa binadamu na sio nyani(........m-bora wenu ni yule anaemcha Mungu kwa dhati)
 
some how kuna kaelement cha chuki fulani ............ sijapenda though siwezi penda kila kitu,,,,,,,,,,,,,,
 
Unafikiri wazungu wangemuacha aigize kama "mungu"?

Mungu+Malaika= Wazungu
Shetani= Mwafrika

Hata Kiamangwana Mateta "Verckys" aliliimba mwaka 1972 wimbo Nakomitunaka(Najiuliza)

Orchestre Veve, Nakomitunaka - YouTube

Ba santu nionso photo se mindele (picha za watakatifu ni za wazungu)‎
Ba angelu nionso bango se mindele ‎(picha za malaika ni za wazungu)
Soki zabulu photo moto moyindo ‎(picha za mashetani ni za mwafrika)
Injustice ewuta wapi (haki iko wapi hapa)
 
Hawatushangai..Maana kila leo tuko kwao kuomba misaada wakati tuna-kila kitu...Akili za kishetani.. :(

Mi-africa ndivyo tulivyo

"2 likes given to FaizaFoxy"
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom