Mia Khalifa afunguka juu ya mapambano katika tasnia ya ponografia: Familia yangu ilinikataa walipogundua

Status
Not open for further replies.
Blondie Fessar
37129159_253098575509810_9146206103204265984_n.jpg
 
Pesa kitu kibaya sana, angalia ameuza utu na heshima yake kwa ajili ya pesa na bado pesa haijamsaidia kitu, nadhani hii inafaa kuwa somo kwa wote wanaodhani pesa inaweza kununua utu wao au heshima yao

Na wengi niwarembo kweli kweli hadi mtu unashangaa

kIongOzI Wa BaaDae
 
Ndio mambo ya kufurahisha umati hayo mkuu, sisi huku tunaendelea tu kupakua video zake.
 
Ndio mambo ya kufurahisha umati hayo mkuu, sisi huku tunaendelea tu kupakua video zake.
Hahaha yaani mnaendelea kumla kihisia tu, walio jutia hiyo kazi ni wengi lakini badowengi wanaingia kwenye hiyo kazi mwisho wanajiweka alama ya maisha

kIongOzI Wa BaaDae
 
Hahaha yaani mnaendelea kumla kihisia tu, walio jutia hiyo kazi ni wengi lakini badowengi wanaingia kwenye hiyo kazi mwisho wanajiweka alama ya maisha

kIongOzI Wa BaaDae
Haya mambo ukiingia ni kama umejitoa kafara hata kama ukitoka bado una acha arama isio futika milele cha msingi fanya maamuzi sahihi kabla hauja ingia huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: sab
Hawa viumbe mara nyingi maisha yao yanaharibika au kupata kovu la maisha kutokana kuweke urembo wao mbele kuliko utu wao,

Pengine kabla hajaingia kwenye hiyo tasni ya ngono kuna watu wema waliona dhamani yake lakini akawatolea nje labda kwa sababu wao kipato chai kidogo,

Angalia sasa aliodhani ndio wema kwake na akawapa uzuri wote sababu ya pesa sasa amechakazwa analia na moyo wake,

Uzuri wake ameutumia vibaya watu wakaufanya fursa, wakautumia vili yo na sasa amebaki kama jalala pesa hazija msitiri na sasa anauza vitabu, kazi ambayo angeifanya enzi hiyo ndio anaianza sasa, yaani nikama ndio anaanza maisha upya,

kIongOzI Wa BaaDae
 
Haya mambo ukiingia ni kama umejitoa kafara hata kama ukitoka bado una acha arama isio futika milele cha msingi fanya maamuzi sahihi kabla hauja ingia huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanawake ndio wa hanga wakubwa hili, ndio maana wengi wanajiuwa baada ya kujutia mambo waliyoyafanya

kIongOzI Wa BaaDae
 
Na wanawake ndio wa hanga wakubwa hili, ndio maana wengi wanajiuwa baada ya kujutia mambo waliyoyafanya

kIongOzI Wa BaaDae
Sema kwenye huu uzi kuna wahuni ambao yaani video zengine sijawahi ona wala kusikia kabisa. Sijui nyomii banxx kafanya nini aisee. Sijui wanatumia site gani kucheki yote hayo. Baada ya zile site pendwa kufungiwa basi tena

Baba Ako
 
Hapana mkuu kwa wazungu hali tofauti na huko tz kwa wazungu 80% ya wanawake hawapendi kabisa unene wengi wao wana shape zinazoeleweka tofauti na huko kwenu mtu akina amenenepa ndio mafanikio
Endelea kujidanganya mkuu, Wazungu ndio wanaongoza kuwa na shape za bandia. Pornstar wengi wakizungu wanatengeneza shape na makalio

Tako ndio habari ya kila sehemu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom