Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini kiongozi huyu anavaa suti nzuri hivi lakini nywele kipilipili?
Hivi kwanini kiongozi huyu anavaa suti nzuri hivi lakini nywele kipilipili?
Hata kushave pia matatizo, sijui hawatumii after shave maana uso umefanya marutu meusi ya kunyoa ndevu bila mpango
Eazy duz itLabda apake Duke ama Brylcreem :becky:
Unamaanisha kujiviringa?Duh! Labda zinakuwa zinachafuka chafuka hata akizichana
Unamaanisha kujiviringa?
Mambo ya kutembea na brush mkononi...Labda apake Duke ama Brylcreem :becky:
Mambo ya kutembea na brush mkononi...
Rais ajaye
nywele hazichagui binadamu alivyo, Afrika kusini Rais wao hajui kitana
aiseeeeeeeSi kwa vile kapigwa para...
Manake vinginevyo .............:confused2:
Nafikiri kuna watu huwa wanakosa hiyo gene.Gotta stay fresh to death...all day errday.
aiseeeeeee