mi' simuelewi huyu mtoto!

Kailanga

Senior Member
Jun 24, 2012
146
33
mi' ni supplier kwenye kampuni fulani, procurement officer wa pale ni bishosti mmoja, toka nianze kusuply huyo mdada amekuwa ananiletea zile za kidemdem ful txt, sometym cm hata ucku mnene nikimuuliza niaje anadai ananipa hi! juzi kati nikaona sio issue acha nimfungukie asijeniona kibisa, pigo alizoniletea eti anadai yy anamtu wake toka chuo na wamepanga kuoana, tatizo ananibania mi' kwa mademu wengine wa pale officn kwao kisa yy ndo mkuu wa dept, na mimi naogopa kupoteza tender yangu, nifanyeje?
 
Kailanga
::
Yuko upande wako bado.Kama unataka kuamini tafuta mwingine na iwe live sio recorded! Ndo utaona how women feel jealous as hell
=
 
Wewe umefuata kazi yako au unataka ku supply na UTAMU pia,? Be prudent and discern wisely
 
we fanya kilicho kupeleka hapo utapoteza kazi kwa mambo ya kipuuzi!!ulienda na nia ya kutafuta demu ofc hiyo,uta dunga wangapi kwa staili hiyo!!!piga kazi mwana!!
 
Tenda ni nini bwana, wewe tafuta mtoto humo humo kwenye department yake then tenda zikikatwa ndo upime kama mapenzi yale yalikuwa ya ukweli ama ya tenda
 
kwani ni lazima uwe na mtu kwenye hiyo ofice yao?au kila ofice unayosuply lazma uwe na mtu?nieleweshe
 
Kweli wewe supplier unataka kusuply vitu hata jukwaa limeona
jitahidi kijana wake za watu wanapigika ije kuwa mipango kitu gani
 
Nawe unachekesha kweli,unadhani atakwambia njoo uni***be,if you real like the woman just hang with her and let things evolve,otherwise simply keep professional.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom