Mi ni mwimbaji,mtunzi(songwriter) nifanyeje nipate label ya kunidhamini.

gambalakobe

Member
Jul 1, 2015
55
73
Salaam,Wakuu, nimeanza na cover za wasanii wa nje naziimba kwa usahihi kabisa mfano. :human nature by mj
:Gone too soon by mj
:I look to you by witness Houston.Etc

Kwa cover za wasanii wa ndani:
:hallelujah by diamond platinum.
:seduce me by alikiba

Nipo hapa dar nimeshindwa nifanyeje hili nitoke kimziki wenye fikra pevu mnisahidie.
 
Back
Top Bottom