mi nakereka na re-mix hiziiiii za bongooo

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,781
7,738
Ka mwanamuziki umeshindwa kutunga basi bora uache muziki uliokwisha tungwa ubaki na hadhi yake, mnazifanya nyimbo hizo kuchuja haraka na hatimaye kuharibu hadhi halisi

Hongera kwa wale wanaofanya kazi bila kunakili za wengine na kubadili vijinenoooo

***wimbo wa "hasira za nini eee mamaa wataka kuniua bureee...si wako...hasira za nini"
 
Back
Top Bottom