Mhuu!Kwa mtindo huu misaada ya Cameroun tutaipata tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhuu!Kwa mtindo huu misaada ya Cameroun tutaipata tu!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rugas, Nov 21, 2011.

 1. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,054
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Akina mama nao wanaweza!
   

  Attached Files:

 2. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,076
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mambo ya Walawi 20:13-16 SUV

  Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao. Tena mtu mume akimwoa mke pamoja na mama yake, ni uovu mkuu; watachomwa moto, yeye mume na hao wanawake pia; ili kwamba usiwe uovu kati yenu. Tena mtu mume akilala na mnyama, hakika atauawa; nanyi mtamwua huyo mnyama. Tena mwanamke akimkaribia mnyama ye yote, na kulala pamoja naye, mtamwua huyo mwanamke, na mnyama pia; hakika watauawa; damu yao itakuwa ni juu yao.
   
 3. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,055
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  hii tabiaa wadadaa wengiii wa mujini mujiniii wanapendaa sanaaa.hayaa mduaraa watu wa duarikeeee....''hayaa mbonaa kulalaaaaa....a a silalii na uvutiaa kasi"
   
 4. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Huyu kalishikilia na analiangalia!!
  [​IMG]
   
 5. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,043
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Uhuru wa kuabudu.Kuna watu wanaabudu viungo vya binadamu wenzao.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,072
  Trophy Points: 280
  anacheza bluzi na wowowo la mwenzie, kazi ipo
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  :A S embarassed: mwe kizazi hiki kweli laana tupu!
   
 8. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,178
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mbona wote wanawake kuna shida gani? si mambo ya mduara hayo? mi nilidhani ni ma-kameroon....
   
 9. s

  sawabho JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Aina hii za haki za binadamu, sio haki :shock:.
   
 10. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Kw concetration hiyo, lazima amefika mbali sana.
   
Loading...