Mhusika wa tukio la arusha haihitaji hata senti kumjua: Tuanze na mwigulu nchemba

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
1,820
294
Ndugu zangu wana JF!
Ni rahisi sana linapotokea tukio la kuuliwa kwa raia au raia kuandamana kulihusisha na kauli ya DR. SLAA aliposema nchi HAITATAWALIKA....!
(Japo wanaosema hivyo wote hawakusoma vishazi huru na tegemezi na au Minor and Major Premises ndo maana hilo hitimisho lake halioneshi maneno aliyoyasema kabla...!)

LAKINI kwa makususdi kabisa SERIKALI na MAKADA wa CCM hawajataka TUIKUMBUKE tena kwa jicho kali kauli ya MWIGULU NCHEMBA aliyesema "ARUSHA MKIIKATAA CCM, MTAKUFA TU"

Hii kauli ISIYOWEZA KUPITA HIVI HIVI!
Hatuhitaji milioni MIA MOJA....
MILIONI MIA MOJA zipelekwe kuhudumia majeruhi tu!
MWINGULU hawezi kutoka hivi hivi!
TAFAKARI
 
halfu jana Nepi anasema ni CDM haohao kwa viashilia hewa, Shem on your Education that you have, does't assist you but destroy you totaly
 
Haya mambo bwana. Mbona kila mtu anamjua mhusia? Si mwende mkachukue hiyo million Mia moja?
 
Hizi kauli za Nepi ni sawa na aliyekuwa waziri wa wa habari wa utawala wa Sadam Hussain wa Iraq,Muhammad Saeed Al-sahf.:disapointed:
 
Wahusika wakuu wametoweka huku jamvini tokea 15/06/013
Si Mwigulu
Wala. Mwampamba
Au dada Shonza

Hawajibu wala kupost chochote nini kimewakimbiza?
Nafsi zao sasa zinawasuta.
 
lukuvi na kiini macho to silent the mass i wish kama a member of cabinet angepigwa risasi hasa lukuvi na nchimbi
 
Lukuvi nagejua ANGENILETEA MIMI HIO 100m kwa sababu namjua muhusika wa mlipuko na hatima serious shooting and killing of innocent civilians.Naye ni Mwigulu na mawakala wake ndani ya ccm.
 
[h=5]"MTAZAMO WA KIJASUSI"
Bomu wamerusha chadema wenyewe kwa kuwatumia gaidi wao mmoja kati ya hawa
1. Ben saa nane huyu alisomea somalia namna ya kutumia mabom ya mikono
2.Deusi aman jr huyu alisomea kutumia risasi na kuvunja watu shingo LIBIYA So baada ya Beni saa nane kurusha bom huyu alimkava kama SNAIPA akidungua kutokea mbali mtu yoyote aletaka kumzua ben saa nane wakati anakimbia katikati ya watu
3.LWAKATARE Huyu alisomea kupanga ramani za kiharifu Monorovia Ndio aliewasign task TASK Vijana hao wawili Task.....

JE LENGO LA MKAKATI HUU NI NINI?
1.Kwanza ni vigumu kwa mtanzania yoyote kuamini tunaweza jishambulia...katika mkutano wetu
2. Mara baada ya kujishambulia Tutalaanu Vikali Mashambulizi hayo kwa serikali ya CCM na kufanya watanzania waichukuie CCM na kufanya tushike dola kirahisi......
3.Mara baada ya watu kufa kundi la vijana wakiongozwa na john heche watapiga picha haraka ambazo zitatmika kama kuonyesha wafadhiri wetu kua tunauwawa hii itatusaidia kuongezewa misaada ya kifedha..ili kukijenga chama chetu....

MKAKATI WENU UPO WAZI SASA TUTAONA
[/h]
 
"MTAZAMO WA KIJASUSI"

hivi jamani katika mtizamo wa kawaida kweli mtu anaweza kuwa gaidi wa yeye mwenywewe? chadema wanaweza fanya ugaidi kwa watu wake!watu walio kuja kwa ajili yako kwa kuku sapoti ugeuke wewe kuwaua?ufanye hivyo kwa sababu gani!? kwa faida ya nani?
je watu waliofika kwa ajili ya arusi yako,waweza kugeuka kuwa simba wa kuwala?madai ya kugeuza kibao kwa kusema chadema ndo walio rusha bomu ni ishara ya dola kukatika uti wa mgongo na sasa wamesimamia magongo kujaribu kujinasua ktk ndoano waliyomeza.serikali ingesema itawatafuta wahusika kwa garama yoyote,lkn sio kusema ni chadema walio rusha bomu.

askari aliyefuzwa hawezi kushindwa kumkamata mhalifu anyekimbia mikono ya sheria.!hapa tunapata ishara ya dola daifu?!kama polisi wameshindwa kumkamata mtu anayeliye onekana kuweupe wataweza kufanya uchunguzi wa swala lililojificha!hapa kuna shaka ya weledi wa kazi hii.SERIKALI MTUPE MAJIBU .
 
Je ni kiongozi chama kipi alisema watahakikisha nchi haitatawalika? je ni kiongozi wa chama kipi alisema wanahakikisha arusha watashinda kwa gharama yoyote? hiyo ni "circumstantial evidence" kuwa mauaji yote ya arusha yanapangwa na chadema ili watu waichukie serikali yao. Kumbuka kesi ya kupanga njama za mauaji iko mahakamani.
 
Sawa kabisa mkuu ni haohao cdm.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom