Mhudumu wa Pub na fast food anahtajika


Doyi

Doyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2011
Messages
785
Likes
180
Points
60
Doyi

Doyi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2011
785 180 60
Habari wana jf
kuna mtu anahtaj muhudumu(msichana) wa pub na fastfood haraka sana. Eneo iliyopo hyo fastfood na pub ni victoria karibu na hospitali ya kairuki.Vigezo vya mlengwa awe na physical appearance nzuri,mzoefu wa kazi,umri asizid miaka 25.Kuhusu chakula na nauli ni juu ya mwajiri,mshahara ni makubaliano.Kwa mawasiliano mpigie muhusika 0713-748149.Kama kuna maswali yoyote muulizen muhusika namba nimetoa.Mimi ni mjumbe tu na mjumbe harushiwi mawe.Asanteni wadau.
 
Doyi

Doyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2011
Messages
785
Likes
180
Points
60
Doyi

Doyi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2011
785 180 60
Ndugu wana jf mwajiri ameshapata mhudumu kupitia hapahapa jf kwa hyo nisiwapotezee muda na vocha wale wanaoendelea kupga simu kuulizia hyo nafasi.Asanteni sana
 

Forum statistics

Threads 1,238,893
Members 476,226
Posts 29,335,882