Mhogo umekuwa ni chakula kikuu hapa Dar es Salaam

Iwensanto

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,173
1,092
Rejea kichwa cha habari hapo juu kwa sasa katika jiji la Dar Mhogo umekuwa ndiyo chakula kikuu katika maeneo mengi ya jiji.

Kuanzia asubuhi mchana na hata jioni na hii itakuwa inachangiwa pengine na ugumu wa maisha au kubadika mfumo wa maisha.

Tupe uzoefu wa ulaji mihogo na faida zake huko kwenu.
 
Watu wa dar naona wanapiga cross tu et ni mitamu kwan mwanzoni iliwekewagwa shubiri au?

Kubalini tu maisha yamewapiga shhhz et oooh inasaidia kuondoa magonjwa nyemelezi, sisi tunafahamu mihogo iliingia dar baada ya watu wa dar kuambiwa inaongeza nguvu za kiume

sasa iv mnakula familia nzima kwanzia baba, mama, watoto mmesahau kua mlikua mnailia mafichoni kama viagra
 
Ndugu zangu wa mikoani hamujaonja mihogo ya huku nyie.mbona mimi nina figure six bank na nakula mihogo ni hamu tu. Wanakaanga good.
Mkuu Vipi mfadhili alikubali gharama za hapo UDSM?
Screenshot_2020-08-06-16-31-58-1.jpg
 
Back
Top Bottom