Mhogo na Tanesco ni wavivu,wazembe na hawataki kujifunza

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
555
500
Kama hayajawahi kukukuta ya Tanesco basi kama wewe ni mtanzania utakua ulishatukanwa na jamaa prof. anaitwa mhogo, baada ya kutuambia sisi wavivu,hivi huu mgao wa kila mwaka na alisema hakutakua na mgao nani mjinga hapa? huyu jamaa na u prof wake ana akili? hv hili shirika halijui kua kila mwaka kuna mvua? mnauzi sana nafikiri ni kati ya shirika lenye maadui wengi Tanzania.
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,313
2,000
Kama hayajawahi kukukuta ya Tanesco basi kama wewe ni mtanzania utakua ulishatukanwa na jamaa prof. anaitwa mhogo, baada ya kutuambia sisi wavivu,hivi huu mgao wa kila mwaka na alisema hakutakua na mgao nani mjinga hapa? huyu jamaa na u prof wake ana akili? hv hili shirika halijui kua kila mwaka kuna mvua? mnauzi sana nafikiri ni kati ya shirika lenye maadui wengi Tanzania.
Mkuu fanya research ya kutosha kabla hujaingia kwenye jukwaa na kuanza ku-post vitu usivyokuwa na uhakika navyo.Huko kwenye majukwaa anakotupa maneno huyo muheshimiwa mimi siko ila fuatilia kwanini kunakuwa na mgao,je Tanesco inajiendesha kibiashara au kisiasa na jee ikijiendesha kibiashara itamudu au haitamudu kuondoa mgao na jee ikijiendesha kibiashara mwananchi wa kawaida atamudu gharama za umeme,ukifanikiwa kuyapata yote hayo na mengine mengi utagundua kwa nini mgao hautakwisha hadi pale Gesi ya Mtwara itakapo anza. Kumwagika Dar.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom