Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,437
- 5,146
Wagome mshahara waongezewe na kama vipi waache kazi tu lkn hakuna wanachokifanya zaidi ya kupiga mchakamchaka usio na mafanikio. Wengi wanaishi maisha ya taabu sana, madeni mwanzo mwishokwa hiyo unashauri watu wasifanye kazi serikalini ?