Mhitimu wa degree ya sheria auza mihogo baada ya kukosa ajira

sonaderm

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
618
1,816
Neema mhitimu wa shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alipomaliza Chuo hakufanikiwa kupata ajira lakini ameona asikae bure tu nyumbani ameamua kuwa mfano wa vijana wenye uthubutu kabisa kuwa tofauti!

Kwenye shughuli kubwa zenye mikusanyiko huwa anafanya biashara ya kuuza mihogo ya kukaanga pamoja na kachumbari nzuri yenye viungo inavutia sana na mihogo yake ni mitamu haswaaaaa sana!


Source: Clouds Media

NB: Tunakoelekea ni kugumu na vijana inabidi kukaza mkanda..

Neema.jpg

Neema 2.jpg
 
Neema mhitimu wa shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alipomaliza Chuo hakufanikiwa kupata ajira lakini ameona asikae bure tu nyumbani ameamua kuwa mfano wa vijana wenye uthubutu kabisa kuwa tofauti! kwenye shughuli kubwa zenye mikusanyiko huwa anafanya biashara ya kuuza mihogo ya kukaanga pamoja na kachumbari nzuri yenye viungo inavutia sana na mihogo yake ni mitamu haswaaaaa sana!
Source: Clouds Media
NB: Tunakoelekea ni kugumu na vijana inabidi kukaza mkanda.
Hata bakhresa alianza hivyo hivyo.Sasa hivi ni bilionea.Maisha huanzia popote.Akikaza buti aweza kuja kuwa mmiliki wa mahoeli makubwa ya kimataifa.Soma historia ya mpika chips kuku maarufu duniani mwenye sehemu za kuuza chips za KFC ambazo hata Tanzania zipo.Mtu hutakiwi kudharau kitu kinacxhokuingizia kipato


175px-KFC_logo.svg.png


Kentucky Fried Chicken (KFC) is a fast food restaurant chain that specializes in fried chicken and is headquartered in Louisville, Kentucky, United States. It is the world's second largest restaurant chain (as measured by sales) after McDonald's, with almost 20,000 locations globally in 123 countries and territories as of December 2015. The company is a subsidiary of Yum! Brands, a restaurant company that also owns the Pizza Hut and Taco Bell chains.

KFC was founded by Harland Sanders, an entrepreneur who began selling fried chicken from his roadside restaurant in Corbin, Kentucky, during the Great Depression. Sanders identified the potential of the restaurant franchising concept, and the first "Kentucky Fried Chicken" franchise opened in Utah in 1952. KFC popularized chicken in the fast food industry, diversifying the market by challenging the established dominance of the hamburger. By branding himself as "Colonel Sanders", Harland became a prominent figure of American cultural history, and his image remains widely used in KFC advertising. However, the company's rapid expansion overwhelmed the aging Sanders, and, in 1964, he sold it to a group of investors led by John Y. Brown, Jr. and Jack C. Massey.

KFC was one of the first American fast food chains to expand internationally, opening outlets in Canada, the United Kingdom, Mexico, and Jamaica by the mid-1960s. Throughout the 1970s and 1980s, KFC experienced mixed fortunes domestically, as it went through a series of changes in corporate ownership with little or no experience in the restaurant business. In the early 1970s, KFC was sold to the spirits distributor Heublein, who were taken over by the R.J. Reynolds food and tobacco conglomerate, who sold the chain to PepsiCo. The chain continued to expand overseas, however, and in 1987 KFC became the first Western restaurant chain to open in China. The chain has since expanded rapidly in China, which is now the company's single largest market. PepsiCo spun off its restaurants division as Tricon Global Restaurants, which later changed its name to Yum! Brands.

KFC's original product is pressure fried chicken pieces, seasoned with Sanders' recipe of 11 herbs and spices. The constituents of the recipe represent a notable trade secret. Larger portions of fried chicken are served in a cardboard "bucket", which has become a well known feature of the chain since it was first introduced by franchisee Pete Harman in 1957. Since the early 1990s, KFC has expanded its menu to offer other chicken products such as chicken fillet burgers and wraps, as well as salads and side dishes, such as French fries and coleslaw, desserts, and soft drinks, the latter often supplied by PepsiCo. KFC is known for its former and current slogan "Finger Lickin' Good", which was replaced by "Nobody does chicken like KFC" and "So good" in the interim.
 
Inabidi vijana tukubaliane na hali halisi! Binafsi namshauri asisumbuke tena "kutafuta kazi" coz anaonekana ni innovative.. Nimependa jinsi alivyofanya hiyo mihogo iwe "classy"..

Kuna mdada mwingine namfahamu naye amemaliza Chuo mwaka Jana, amejikita kwenye kilimo na ameanza kukamata mtonyo wa maana tu..
 
Neema mhitimu wa shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alipomaliza Chuo hakufanikiwa kupata ajira lakini ameona asikae bure tu nyumbani ameamua kuwa mfano wa vijana wenye uthubutu kabisa kuwa tofauti! kwenye shughuli kubwa zenye mikusanyiko huwa anafanya biashara ya kuuza mihogo ya kukaanga pamoja na kachumbari nzuri yenye viungo inavutia sana na mihogo yake ni mitamu haswaaaaa sana!
Source: Clouds Media
NB: Tunakoelekea ni kugumu na vijana inabidi kukaza mkanda..

15492542_1280583835318365_8166818150006743384_n.jpg
15541117_1280583845318364_4704867959592455352_n.jpg
Wewe ndiye Ney? Vip naona mihogo anaiuza kisomi zaidi, anyway bila shaka mh yule toka Canada aliyekuwa katibu mkuu akija atakuwa Mteja wake mkubwa
 
hivi unahitimu sheria halafu unalalmika unakosa ajira, tatizo ni elimu yetu au fikra zetu kuwa tukimaliza chuo lazima tuajiliwe.Mhitimu wa sheria sidhani kama anahitaji kuajiliwa kwani ni miongoni mwa fani zenye mahitaji makubwa nchini.Aende gerezani atapata watu kibao wa kuwasaidia mwishoni mwa kesi atapata pesa baada ya wateja wake kupata hukumu ya haki.Wengi walioko gerezani sio kwamba wana hatia bali ni kutokana na kutopata/kumudu gharama za wanasheria.
 
Back
Top Bottom