Mhitimu wa Chuo Kikuu afungua kesi dhidi ya Bodi ya mikopo akidai tozo zinachelewesha maendeleo ya Wahitimu

Hii ni moja ya kesi hewa kuwahi kufunguliwa Duniani. Serikali kufadhili elimu ni uamuzi wa kisera hauwezi kuhojiwa na kubatilishwa na sheria.
 
Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira Arusha, Alexanda Bakunguza, amefungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga elimu ya juu kugharamiwa na serikali kwa njia ya mikopo.
Safi sana
 
Basic salary ya mtu unakuta ni 400k. Heslb wachukue 15%, Paye wakate 8%, NSSF akatwe 10%. Hapo hapo atoe kodi ya pango na chakula. Hiyo hiyo atume kwa wazazi kijijini na ada za serikali alipe. Gesi imepanda. Mafuta ya kupika yamepanda. Hii nchi tunaongozwa na viongozi “wajinga”
Na ukitumza kwa mzazii kuna tozoo
 
Hii case ni ya muhimu sana. Maana hata mishahara serikali inalipa ni ya kula tu alafu bodi nayenyewe inakata
 
Back
Top Bottom