Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,510
Dude, you seem to be out of it....
Whatever you say. But I have already told you what violence against Indians will accomplish...zero! Those "lessons" will not be learned by any Indian store owner.
Man, don't tell me you're not sick of hearing that IQ claptrap from Raj? I know I am....but I kinda miss beating the shit out of him, though......I had to find another pastime after he disappeared.
Reasons such as
1. The man putting items in his pocket
2. The owner believes the man has stolen from that store before
3. The man acts "suspicious"
The list goes on and on... Like I said who knows, I wasn't there and I definitely don't think we are getting the whole story from Ab-Titchaz.
Ni ukweli kwamba kasumba za wahindi wanazoziendeleza nchini mwetu ni zi udhalilishaji? Lakini Mungu ni muweza maana mpaka sasa sijaona kiboko ya muhindi kama muarabu, jamani pateni muda mupite middle east (kuwait, saudia, emirates) muone muhindi anavyokula kisago kwa waarabu. Kujidai kwao huko huko dar, nairobi etc akikanyaga tu ME kaumia!
Kaka nataka kutoa ushuhuda wangu hapa.
Mimi nimepatwa na ubaguzi wa hawa "Dugu yetu Tanzania enye asili ya India" kama kibao lakini hii natoa hapa ni l;atest of them all.
Wiki iliyopita tulikua Ulay kwenye ziara ya biashara katika group yet alikuopo Mhindi mmoja sasa katika pitapita tukakutana na bonge ya Deal ya kupeleka Ufuta na Mawese huko.
kila mtu kwenye ile group akawa na mawazo yake kwamba ni lazima tuunnde some sort ya ushirika ili kila mtu afaidi ule mkataba.Yule bwana muhindi akanza kuteta na baadhi ya wenetu kwamba eti Serikali kwa sasa haitoi vibari vya kusafirisha hayo mazao nnje.
kwa bahati nzuri alikuwepo mtu wa serikali tena wa viwanda na biashara akasema si kweli labda kwamba yule mhindi anataka awaambie ndugu zake wa hindi wafanye ili biashara pekee yao.
Basi yule bwana aibu ika mjaa na sasa tumeunda ka-body ketu karatibiu ile shughuli ila hawa wenzetu hawana nia nzuri na sisi pamoja sisi tunawachukulia ni wenzetu
Nawakijua kwamba waafrika wana violence watahama nakwenda sehemu nyingine, sijui hapa nani anamkomoa nani.
Kitu ulichokua unanunua Nakuru inabidi upande basi kwenda nairobi kukinunua, na wale waafrika ambao hawana hata nauli ndio kwanza imekua double trouble.
Kama kupigana ndio suluhishi basi wapalestina na waisraeli wangeshapatana zamani.