Mhindi ajigamba kutatua mfumko wa bei Tanzania ataweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhindi ajigamba kutatua mfumko wa bei Tanzania ataweza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, Oct 27, 2011.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimeona kwenye facebook mhindi yule wa mohamed enterprises anajigamba kwamba anampigia simu gavana ampe solutions za matatizo ya kuporomoka shilingi na mfumko wa bei...hivi hawa wahindi mbona wanajifanya kimbelembele sana?​
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Gamba jingine hilo.
  OTIS.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  amwage solutions zake tuzifanyie analysis
   
 4. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haijarisha atakuwa muhindi,mzungu,mchina,mnanigeria, yani kwasasa ni yoyote yule atakeyeweza kuokoa shilling yetu afanye hivyo
   
 5. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Naunga mkono hoja,national should be first alwayz,chadema ccm cuf badae!
   
 6. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Solution shillingi and inflation sio mtu bali mfumo. Mwambieni huyu muhindi the problem is sytemic na sio individual. Kama anasolution kwanini asizitaje tukazisikia na badala yake anataka kumpigia simu gavana aongee nae nini kama sio kutaka favors fulani. Aache usanii.
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  Amwage solution wakati yeye ndiye anaongoza kwa kupeleka dola canada,kupandisha bei ya sukari,kukopa ktk mabenki pesa nyingi,kununua mazao kwa pesa feki haswa vijijini hana lolote!atuambie ataongeza vipi export ya mazao aliyopewa mashamba na govt kama katani,chai halafu kayatelekeza
   
 8. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ataweza? wachumi kama kikwete wameshindwa sembuse yeye? au hajui akina kikwete wana digrii za uchumi
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Hana uwezo huo na elimu yake Ya form 4.
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  na Phd ya sheria pia.
   
 11. S

  Snitch Senior Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Utoto huu ndio maana watanzania wanaipotezea JF hakuna hoja ni kutukanana na kila Mtu kuona dini yake bora je tunaipenda nchi yetu?

  Tunajua madhara ya udini? Je tumefikia mwisho wa kufikiria?

  Je tinajali maslahi ya taifa na tija ipo?

  Tafakarini watanzania wenzangu tuache ulimbukeni tushauriane vizuri na asieshawishika basi awe Ujinga wake tu lakini ujumbe atakua amepata kuliko matusi na kebehi hazijengi...


  Amani Daima Tanzania kwanza UDINI na Ufuasi nyuma nyuma zaidii
   
 12. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa upo.njolo na uchumi wapi na wapi?
   
 13. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Sikubaliani na wazo linalotolewa na watu wengine kuwa tukataze matumizi ya dollar hapa nchini [ dollarization of the economy] kama suluhu ya mfumuko wa bei kwani that does not go to the root of our problem. Unapokataza watu wasitumie dollar maana yake ni kwamba wasinunue vitu wanavyovihitaji toka nje ya nchi. Wananchi hutafuta dollar ili waweze kununua mahitaji yao ambayo kwa kiwango kikubwa composition yake ni vitu toka nje na huko nje huweze kuitumia shillingi[madafu] kununua mahitaji!! Solution ya mfumuko wa bei ni structural transformation ya economy yetu, tujenge uchumi unaojitosheleza kwa kiwango kikubwa kwa kutumia zaidi rasilimali zinazopatikana hapa nchini zaidi. Viongozi wa nchi ndio wanatakiwa wawe mfano kwa kuhimiza watu watumie vitu tunavyozalisha wenyewe. The leadership should walk the talk badala ya kuhubili tu lakini matendo na tabia zao zinakuwa tofauti. Mfano mdogo tu ni mavazi ya viongozi wetu; siku hizi wote na hasa wbunge na viongozi wa juu wa serikali wanashindana kuvaa suti za savile Row kwa wakina baba na wakina mama nao viwalo vyao ni toka Dona Karan au Jones of New York!! mavazi yote haya yanahitaji dollar[foreign currency] kununua kwahiyo kwa tabia hii viongozi wanashindana na wafanya biashara kusaka dollar hence demand yake inakuwa juu relative to supply hivyo thamani ya shilingi kushuka[ bei yakununua dollar kupanda]. Laiti viongozi wetu wangeonyesha mfano wa kuvaa mavazi yanayotengenezwa kwa malighafi tunayozalisha kama vile kaunda suits na vitenge, wananchi nao wangefanya vivyo hivyo na demand ya fedha za kigeni inayotokana na life style za nje ingepungua na pressure on the shillingi ingepungua pia. Huo ni mfano kwa mavazitu lakini if you can replicate it to the whole economy impact yake itakuwa significant!!
   
 14. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  bora yy ana positive ideas ww unaonekana kama una negalive au mawazo mgando
   
 15. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  I beg to differ with you,

  Dollarisation is a problem in this country. Unaposema watu wasizuiwe kutumia kwa vile wanachukua dollar ili wakanunue bidhaa nje ya nchi for your information dollar nyingi nchini kwetu zinanunuliwa na watu kuweka majumbani mwao na kufanya transactions ndani ya nchi. Labda nikuulize unahitaji dollar kwenda kupangisha chumba kariakoo?? Unahitaji dollar kwenda kusomesha mtoto shule? Unahitaji dollar kulipia kodi? Unahitaji dollar kwenda kununulia viatu kariakoo au mlimani city?

  Unachozungumzia wewe ni ndio nyie wasomi wanafiki kwani kubadilisha mfumo wa kiuchumi wa nchi takes a very long time and that will destabilise our country's economy. In short mnatoa solution za kisiasa.

  Kubadilisha mfumo wa kiuchumi yes ipo haja lakini kama tulivyofanya mabadilko ya sekta za benki na sekta za insurance na sekta zenginezo muda huu sio muda mwafaka. What is needed is short term solution and long term solution na sio kuanza kufumua mfumo wa kiuchumi wa nchi wakati tuko kwenye hali ngumu. Sekta ya uchumi ni kitu kikubwa na kizito na takes time. Ila kwasasa something needs to be done to tackle dollarisation in this country.
   
 16. chengachenga

  chengachenga Member

  #16
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unapozungumzia uchumi huwezi kuwasahau wafanya biashara. ni muhimili kwa uchumi wa taifa lolote. ni imani yangu anaweza hata kama siyo peke yake ila anaweza kuwa na mchango mzuri tu. hakuna sababu ya kumkatisha tamaa hasa ukizingatia we loose nothing kwa chochote atakachokifanya bali tutafaidika iwapo azimio lake litafanikiwa. mhindi keep it up.
   
 17. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hili suala sio la mzaha hata kidogo tusipo angalia tutakuwa kama zimbabwe na bado al shabaab wanataka kutuvamia usd itizidi hata euro
   
Loading...