Mhhhhhhhh! Kwa penzi hili nadhani karibu nanyoosha mikono juu!

God knows

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
275
173
Mhhhh! Baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu, uzalendo ulinishinda nikaamua angalau na mimi nitafute binti wa kuniliwaza. Mchakato huu ulianza kwa binti mmoja ambaye tulikutana kwenye dala dala tukitoka Posta kuelekea Mwenge. Nilivutiwa na mwonekano wa Binti huyu nikaamua niombe namba ya simu.

Mungu si athumani alitoa namba bila hiyana! Kutokana na furaha ya kupewa namba sikuweza kuongea chochote siku hiyo kama mtu aliyewekewa matambala ya nguo mdomoni hadi muda wa kushuka Mwenge ambapo tuliagana tu na nikamuahidi kumtafuta. Kwa mwonekano, binti huyu ni mwembamba, ana baby face, mweupe wastani pia ni mrefu kidogo. Alikuwa na SmartPhone ya Nokia ambayo gharama yake nakisia sio chini ya Laki Tatu!

Pia alikuwa amejitupia micheni siku hiyo, cjui ya madini gani mshamba mie. Msije Mkaniomba Picha! Sina. Tulianza mawasiliano ya hapa na pale huku nikijaribu kumuonesha kwamba najali. Urafiki wetu ulidumu kwa muda kama wa mwezi mmoja ndipo nilipoamua kumtamkia wazi kwamba ……………….!

Katika urafiki wetu nilipata kujua kwamba binti yule alikuwa anasoma Procurement kwenye chuo Fulani hapa hapa Mjini. Nilizungushwa kukubaliwa ombi langu kwa muda kama wa mwezi mmoja. Sikukata tamaa kwa sababu nawajua watoto wa kike: Kwanza kukubali moja moja ni udhaifu na pia mapozi kwa mtoto wa kike ni ya muhimu kama ilivyo tendo la ndoa kwa walio oana. Baada ya kubembeleza sana ombi langu lilikubaliwa na nikawa rasmi mpenzi wa Fulani.

Kukubaliwa huko kulileta Joto na Raha ndani ya moyo wangu! Kusema kweli nilifurahi wiki ya kwanza huku nikishindwa kujenga taswira kwenye ubongo wangu siku ya kugegedana itakuwaje?????????!!!!. Kitumbua kiliingia mchanga baada ya kuombwa Laki Moja ili aongezee kwenye ada alipe chuo. Nilijiuliza maswali mengi ambayo yalikuwa hayana majibu. - Kwanza kwa nini asimuombe mzazi wake. Mi sio mzazi!!!!! - Miaka yote nani alikuwa anamlipia ada? - Kama mimi nisingekuja kwenye maisha yake, nani angelipa hicho kiasi cha ada! Na mengine mengi. Labda wana MMU mnisaidie kumjibia. Nilitoa laki moja kwa shingo upande. Baada ya hapo nimekuwa mtu wa kupigiwa simu, mara dia sijala, mara dia naumwa naomba hela niende hospitali.

Nimegeuzwa ----- mie kila siku natoa hela tu. Siku alipokuja kunichosha ni pale aliponiambia kwamba SmartPhone yake imetumbukia kwenye maji na imezima kabisa haitaki kuwaka kwa hiyo kwa sasa ameweka kadi ya simu kwenye simu ya mwenzake. Kama umesoma "Critical Thinking and Argumentation" inabidi uwe umeshatambua kwamba nilitakiwa kukununua SmartPhone nyingine labda ya gharama Zaidi kuliko ile aliyokuwa nayo mwanzo.

Nikijiangalia mwenyewe natumia Nokia tena yenye tochi – gharama yake haizidi elfu hamsini. Hata hiyo SmartPhone sijui una-touch vipi kwa sababu nahisi siku nikipewa itanishinda kutumia. Nipo hapa hapa mjini ila mshamba haswa wa mambo hayo! Muda huu nilimwambia kwamba sina hela ya kumnunulia simu hiyo. Ila siku hizi huwa namkuta na Samsung Galaxy S3 Mini. Baada ya kumkatalia kumpa hela ya simu, kwa sasa tunaendelea na mizinga midogo midogo.

Papuchi sijapewa hadi leo. Nikimwita Faragha nijibiwa "Akhu"- msamiati ambao nilikuwa sijawahi kuusikia kabla isipokuwa kwa huyu binti. Penzi letu limekuwa la kukutana pale Mwenge – New Jamarat na kunywa Juisi. Sijawahi hata kugusa kalio mie. Natamani kuachana nae ila roho inaniuma – hela zangu.

Wana MMU naomba mnisaidie kwenye mazingira haya manake naweza nikafa mawazo– angalau nipewe papuchi tu na moyo wangu utapona.
 
mkuu mbona kuna jukwaa lenu malover boy mnaowaza papuchi masaa 24, sie huku twatafuta kazi na tenda, mods msaada jamani kuna MTU kaingia choo cha kike, watu tuna stress za kutafuta kazi ye anatuletea mapenzi hapa
 
Mh!Ka-story kazuri!!!but jijenge tafuta mke uowe kama kumsomesha umsomeshe mkeo achana na hao dadapoa watakuharibia future,we huoni wenzako wanavyowabutua kwa gun huko mitaani?unadhani wanapenda mwisho uwe hivyo,hawapendi ila ni mazingira hayo unayotaka kujijengea ktk maisha yako ndo yanayosababisha.take care we chalii!!!!
 
Kaka jikaze tu. Hakuna rahisi mjini mkuu. Mie hayo yashatokea mara kibao but najikaza tu ila siku akibugi kunipa papuchi huwa naita na majini yanisaidie kumrekebesha. Na kwa kuwa nimejaaliwa kilema huwa napiga hadi nachubua. Kisha nasepa kama hivi....
 
Kuna miji2 mijinga hapa ulimwenguni...una umri gani kwani we mleta mada?
 
Endelea tu kumpa vijisenti vyako............siku ya kwanza tu namba umepewa na kizinga juu baadae.
 
Ndio Ushaliwa hivo, mjini hapa usijenge nyumba juu ya mchanga kaka, itasombwa na upepo. Una-invest kwa mwanamke usiyemfahamu vizuri
 
Yani umenifanya nicheke sina mbavu...eti kidate chenu ni pale new jammarat,Mwenge....pole kaka ushaingizwa mjini..sistaduu anatafuta hela ya salon huyo.
 
Umenifanya nicheke weee....!! Kweli kabisa hujui cha kufanya hapo?? naona unatania ndugu, kimbia haraka sana akufukuzae hakuambii toka. Naomba uamke kutoka usingizini!
 
Hahahahahahahhha yaani baada ya kukuonea huruma naskia kucheka tangu naanza kusoma hadi namaliza....

Weee kaka weee unafanywa buzi bana weee amka unachunwa utauza hadi mashati...:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Duh mshkaji jitahidi tu hata upime oil kama papuchi imeshindikana kabisa ila usikubali kuendelea kushika mapembe tu wakati maziwa wanakamua wengine! At least upime oil kufidia vijicent vyako ilivyoinvest kwake ila usikubali kuondoka tu bila hata kuigusa papuchi! Yaani iwe umempa tu hizo hela kwani dada yako huyo? Au wewe shirika la misaada? Dadeki kama vipi mbake tuuuuu mpsxxxxx mademu wengine bwana kwani akikupa hiyo papuchi utaondoka nayo? Kwanza ni elastic hiyo inatanuka kutokana na ukubwa wa mtarimbo! Sasa anakubania nini komaaa kijana atakupa tu huyo
 
Umenifanya nicheke weee....!! Kweli kabisa hujui cha kufanya hapo?? naona unatania ndugu, kimbia haraka sana akufukuzae hakuambii toka. Naomba uamke kutoka usingizini!

hela yake jamani inamuuma.
 
Kwani hilo linahitaji twisheni mkuu? Toka nduki mbaya unauliza panadol kwenye duka la vifaa vya ujenzi?
 
Mhhhh! Baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu, uzalendo ulinishinda nikaamua angalau na mimi nitafute binti wa kuniliwaza. Mchakato huu ulianza kwa binti mmoja ambaye tulikutana kwenye dala dala tukitoka Posta kuelekea Mwenge. Nilivutiwa na mwonekano wa Binti huyu nikaamua niombe namba ya simu.

Mungu si athumani alitoa namba bila hiyana! Kutokana na furaha ya kupewa namba sikuweza kuongea chochote siku hiyo kama mtu aliyewekewa matambala ya nguo mdomoni hadi muda wa kushuka Mwenge ambapo tuliagana tu na nikamuahidi kumtafuta. Kwa mwonekano, binti huyu ni mwembamba, ana baby face, mweupe wastani pia ni mrefu kidogo. Alikuwa na SmartPhone ya Nokia ambayo gharama yake nakisia sio chini ya Laki Tatu!

Pia alikuwa amejitupia micheni siku hiyo, cjui ya madini gani mshamba mie. Msije Mkaniomba Picha! Sina. Tulianza mawasiliano ya hapa na pale huku nikijaribu kumuonesha kwamba najali. Urafiki wetu ulidumu kwa muda kama wa mwezi mmoja ndipo nilipoamua kumtamkia wazi kwamba ……………….!

Katika urafiki wetu nilipata kujua kwamba binti yule alikuwa anasoma Procurement kwenye chuo Fulani hapa hapa Mjini. Nilizungushwa kukubaliwa ombi langu kwa muda kama wa mwezi mmoja. Sikukata tamaa kwa sababu nawajua watoto wa kike: Kwanza kukubali moja moja ni udhaifu na pia mapozi kwa mtoto wa kike ni ya muhimu kama ilivyo tendo la ndoa kwa walio oana. Baada ya kubembeleza sana ombi langu lilikubaliwa na nikawa rasmi mpenzi wa Fulani.

Kukubaliwa huko kulileta Joto na Raha ndani ya moyo wangu! Kusema kweli nilifurahi wiki ya kwanza huku nikishindwa kujenga taswira kwenye ubongo wangu siku ya kugegedana itakuwaje?????????!!!!. Kitumbua kiliingia mchanga baada ya kuombwa Laki Moja ili aongezee kwenye ada alipe chuo. Nilijiuliza maswali mengi ambayo yalikuwa hayana majibu. - Kwanza kwa nini asimuombe mzazi wake. Mi sio mzazi!!!!! - Miaka yote nani alikuwa anamlipia ada? - Kama mimi nisingekuja kwenye maisha yake, nani angelipa hicho kiasi cha ada! Na mengine mengi. Labda wana MMU mnisaidie kumjibia. Nilitoa laki moja kwa shingo upande. Baada ya hapo nimekuwa mtu wa kupigiwa simu, mara dia sijala, mara dia naumwa naomba hela niende hospitali.

Nimegeuzwa ----- mie kila siku natoa hela tu. Siku alipokuja kunichosha ni pale aliponiambia kwamba SmartPhone yake imetumbukia kwenye maji na imezima kabisa haitaki kuwaka kwa hiyo kwa sasa ameweka kadi ya simu kwenye simu ya mwenzake. Kama umesoma “Critical Thinking and Argumentation” inabidi uwe umeshatambua kwamba nilitakiwa kukununua SmartPhone nyingine labda ya gharama Zaidi kuliko ile aliyokuwa nayo mwanzo.

Nikijiangalia mwenyewe natumia Nokia tena yenye tochi – gharama yake haizidi elfu hamsini. Hata hiyo SmartPhone sijui una-touch vipi kwa sababu nahisi siku nikipewa itanishinda kutumia. Nipo hapa hapa mjini ila mshamba haswa wa mambo hayo! Muda huu nilimwambia kwamba sina hela ya kumnunulia simu hiyo. Ila siku hizi huwa namkuta na Samsung Galaxy S3 Mini. Baada ya kumkatalia kumpa hela ya simu, kwa sasa tunaendelea na mizinga midogo midogo.

Papuchi sijapewa hadi leo. Nikimwita Faragha nijibiwa “Akhu”- msamiati ambao nilikuwa sijawahi kuusikia kabla isipokuwa kwa huyu binti. Penzi letu limekuwa la kukutana pale Mwenge – New Jamarat na kunywa Juisi. Sijawahi hata kugusa kalio mie. Natamani kuachana nae ila roho inaniuma – hela zangu.

Wana MMU naomba mnisaidie kwenye mazingira haya manake naweza nikafa mawazo– angalau nipewe papuchi tu na moyo wangu utapona.

Pole sana mkuu mimi pia ilinitokea bi dada mmoja alikuwa kila siku ananitafuta nikirudi kutoka kwa job na anasema anakiu sana na kilasiku lazima anywe bia 8 na nusu kuku kama haitoshi akadai simu imetumbukia kwa maji nika mnumulia mara naomba nauli naenda tanga na kurudi na matumizi, nikamwambia njoo uchukue kwa home alipofika nilimparua kwa kisirani mpaka nikasimamia kama naendesha baiskeli mlimani na nikampa laki 2 nauli na matumizi walao nilifaidi papuchi yake sio kuomba hela tuuuuuuuuuu bila kutoa
 
Ha ha ha umeshageuzwa mtaji wa kununulia ma less wigi wengine wanakula kisela..
Kimbia upes kabla hajakwambia amefukuzwa hostel anataka umpangie chumba kijitonyama
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom