Mhh... Kumbe!!!!!!!!

ALLEX

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
2,006
343
neno.jpg

hebu niambieni hapa mbona wametaharuki....
 
ina maana gani ii, mwanamke haangalii sura hata kama utakuwa na pua kama kirungu anachoangalia ni hapo chini tu, ila mwanaume anaangalia sura?
 
mwanamke kahsangaa kuona jamaa hana kipande cha muhogo
na mwanaume kashangaa bbie hana pua wala mdomo..................huh
 
wel, hao mm inafikiri ilikuwa ni kipindi cha mfungo, so walikuwa wanajadili, kupanga na kuonyeshana ki2 ya kufuturisha jion ya cku hyo!..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom