MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
Wana JF naxchukua fursa hii kuwakumbusha uongozi wa uadilifu wa Dr. Lyatonga Mrema katika kamati ya serikali za mitaa kwa namna anavyotekeleza majukumu yakeb tofauti na watangulizi wake katika kamatii husika, Akiwemo Dr. Slaa ambaye katika kipindi chake hakuwa na uthubutu wa kuwakata mishahara watumishi wa local govt. Kwa haraka haraka inaonyesha Mheshmiwa Dr. Mrema amerudisha nidhamu kwa watumishi wa serikali za mitaa kuhusu kuingia mikataba.