Mheshiwa Rais: ni wewe kweli uliyeahidi kukuta na Wezi? au sijakusikia vizuri.

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Utumbuaji wako nilivyo uzoea, sijaamini kama umetamka kukutana na wale uliosema wametuibia kwa zaidi ya miaka 20. haiingii akilini, ukae na mwizi uongee nae nini? kwa tani za madini ulizo sema unataka kuongea nao nini?

Hawajasajiriwa kufanya kazi Tanzania, unataka mkubaliene nini? sijakusoma mzee,
 
Back
Top Bottom