Walivyojaa mtaani akishuka mtu anapanda mtuMheshimu mwanamke wako kwa sababu sisi wote tunamtaka(tunamtamani) na sisi ni bora zaidi kuliko wewe,lakini alikuchagua wewe,sasa siku akichoka..ndio akili itakukaa sawa!
Wacha wee, halafu kama nakufananisha hiviii, ila sio kesiHakuna jipya hizi ni kauli za wasiojikubali. Akichoka akaenda na wewe unaweka chombo kingine kwani shida Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa nilitoa posa nikadhani nimemaliza nikawa na delay kupeleka mahali niliposikia kuna mwingine anataka kupanda dau nikakimbia fasta kupeleka mahali
Mkuu haya ulioandika ni kweli kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimu mwanamke wako kwa sababu sisi wote tunamtaka(tunamtamani) na sisi ni bora zaidi kuliko wewe,lakini alikuchagua wewe,sasa siku akichoka..ndio akili itakukaa sawa!