Mheshimiwa Zitto Kabwe aache siasa za kuchanganya wapiga kura.

Sisi wagoma huna haja ya kufukuza kwani historia inaonyesha hatuchelewi kususa na kurudi CCM mfano: Dr Kabouru,Nsanzugwanko,Kiffu Gulam Husein na Kafulila anafuata, CDM watakuwa wehu wakifukuza mtu anayesubiri muda aondoke kwa gharama zake!
Ukitaka kuona chadema kitakavyokufa vibaya wamfukuze Zitto halafu kama hata wiki itapita
 
wewe ni muongo na mnafiki, ccd bila zitto haina mada wala hamtafika mbali. You have gone to an extreem to ensure that you are attacking Hon Zitto.

It seems you are fulfilling MTEI's words when he told Zitto< hiki chama nimekigharimikia kwahivyo a boy from the god foresaken Kigoma will not come here and take over.
 
Wakati wenzie wankesha ofisini wakipanga mkakati wa kudhoofisha ccm yeye ofisiyake inatumiwa na panya na huku akipanga na wanccm namna ya kudhoofisha CDM mahotelini. Wakati wakiparulana na vitisho vya polisi dhidi ya operesheni sangara yeye anasafiri na mwenykiti wa ccm kwenda kumzika waziri mkuu wa Ethiopia. Wakati wenzie wnafanya vikao vya mara kwa mara vya sekretariat na kamati kuu kutoa maamuzi ya kuiua ccm yeye yuko kwenye vikao vya kamati za bunge(sijui kwa vile vyenyewe vina posho na vya chama havina poshokwa wabunge km yeye) na maamuzu anayatolea kenye twitter, facebook na gazeti la mwananchi! Hata kama kingekuwa chama cha wehu kingempitishaje kupeperusha bendera yake mtu asiyekitumikia chama kwa misingi yake! Demokrasia gani inayolazimisha mtu asiye na ushirikiano na wnachama wenzie kwa karibu bali yuko karibu zaidi na maadui kuteuliwa kugombea? Demokrasia gani inayompa mtu nafasi ya kugombea anayeonyesha ushirikiano tu wakati maadui ccm yamemchafua kwa kumhusisha na ufisadi wa tanesco(maana ndipo alipohudhuria kikao cha sekretariat)? Wasiojua wakati utwaambia tu!
wamekimbia kwenye ule uzi wa kauli ya mtei baada ya kuona wameshindwa kumchafua zito.
Kaja kuanzisha mada nyingine kutimiza malengo.

Maswali rahisi ya kujiuliza, ni kipengele kipi cha katiba ya cdm ambacho zito amekikiuka?

Mlimnyima asigombee uenyekiti, akakubali kwa maslahi ya chama, leo mnamnyima tena asigombee uraisi, demokrasia inayohubiriwa na cdm iko wapi?

Kama mtei anakipenda chama na hataki mpasuko utokee, kwa nini anapingana na zito kwenye media na sio kwenye vikao halali vya chama?

Mtei Anafanya hivyo kwa maslahi ya nani?

Zito amesema ataomba idhini ya chama na asipo ruhusiwa atampigia kampeni mgombea atakae pitishwa na chama, huo ubinafsi hapo uko wapi?

Mbona mnamuhofia sana zito, kwanini msiache demokrasia ifanye kazi yake?
 
Waamuzi ni Watanzania wenyewe,haikubaliki kuamuliwa na baadhi ya watu wa KILIMANJARO na ARUSHA najua sio wote,mtu kuweka nia inakua ni dhambi! Kama kuimarisha chama si anafanya mara nyingi tu,mfano juzi juzi alikua huko kwenu,mulimpitisha Kaka Mboe nafasi ya uwenyekiti bila kupigwa,sasa safari hii kama haki na busara haitapewa nafasi mbao zitagawanwa.
 
ZZk yuko sahihi kabisa nawala hana kosa tena anastahili na vigezo anavyo, sema tu sisi watanzania huwa tunatabia ya kuoneana wivu na hatupendi kuona mwenzetu kafanya jambo fulani zito, sasa mnaposema zito akae kimya je,dk. slaa akishuka ghafla kisiasa nani ataziba pengo kama hakuna wanao vuma......zzk nikama mwalimu anacheza na saikolojia ya siasa, mtaongea weeeeeeeeweeeee lakini ukweli utabaki kuwa palepale kwamba anachofanya ni sahihi;
 
wewe ni muongo na mnafiki, ccd bila zitto haina mada wala hamtafika mbali. You have gone to an extreem to ensure that you are attacking Hon Zitto.

It seems you are fulfilling MTEI's words when he told Zitto< hiki chama nimekigharimikia kwahivyo a boy from the god foresaken Kigoma will not come here and take over.

Onyesha uongo na unafiki upo wapi hapa.

Then, who is he not to be scrutinised for his ambitions? I am sorry no one is attacked here, yes this is democracy where we dare to talk openly.

I have highlighted his inmaturity, self serving, and selfishness behaviour, things which will not win him any favour at all from the electorate.

During his time as an MP Mr Zitto has easily emerged as he most popular political figure in the country - is in favour of &#8216;toxic' things such as dodge deals with all government contracts as so on which made him famous as Buzwagi issue wa let to rot.

But his adventurous ambitions will lead to him loosing more favour from the electorate. Mr Zitto knows very well these are only tactics which will in the end in turning the voters away.

What I dislike is to see all these endless obstruction, mindless devotion to utopian theories, disdain for huge swaths of the population, and litmus tests that create uncertainty.

About fulfilling Mr Mtei words, you say so!.
 
wewe ni muongo na mnafiki, ccd bila zitto haina mada wala hamtafika mbali. You have gone to an extreem to ensure that you are attacking Hon Zitto.

It seems you are fulfilling MTEI's words when he told Zitto< hiki chama nimekigharimikia kwahivyo a boy from the god foresaken Kigoma will not come here and take over.

Bwana Mkirindi,

This is a libelous statement. I have never made such statement to Zitto; and I have said in many instances that I like Zitto for his patriotism, boldness and inovativeness. If JF were a public media I would sue you for libel.
 
You see now Mr Mkirindi?

The funny staff is you don't know or understand about what you are saying.
 
Kwa hiyo mbowe na slaa tu ndio wanatakiwa kuzungumzia urais ndani ya chadema? Msikifanye chama hiki kaa KANU ya moi na kijana wake uhuru

Sasa ww unayejiita PHD niambie baada ya 2010 ni lini na kwa source ipi umemsikia Dr.Slaa/Mbowe ametangaza nia? Mm ninachojua wao wamejikita Vijijini kueneza chama na hii ni kazi nzuri.Hivyo usipotoshe kuwa Mbowe na Slaa wamewahi kutoa kauli ya kutaka Urais.Utawezaji kuhitaji urais bila kujua tathimini ya uimara wa chama Vijijini? Tuna vijiji takribani elfu 18 nchini kama sijakosea je uhakika upo kuwa kila kijiji chama amekiimarisha? Muda huu aungane na makamanda wengine kukijenga chama kila mmoja anahaki ya kugombea.Watu makini wanaoishi majimbo mbalimbali hapa mkoani Kigoma wanajua kila kitu kuhusu ZZK Ukaribu/Umbali alionao kwa Upande wa CDM na wanachadema huku Kwetu kwenye majimbo yote mkoani Kigoma.Nimetaja majimbo yote ya Kigoma coz yy mbali na Ubunge ni Naibu katibu Mkuu wa CDM anahusika ktk ujenzi wa chama kila jimbo hivyo watu wanamjua kuliko Mwingine aliyemjulia kwenye TV au kwenye Mitandao ya Kijamii .Hivyo kwa sasa hata mm siwashauri vijana kukalia kulumbana juu ya hii kauli ya ZZK kutangaza nia badala yake Vijana tujikite na M4C kijiji kwa kijiji.Baadae muda ukifika ndipo chama na wanachama waamue nani anasifa za kugombea Urais Kwani kila mmoja atavuna alichokipanda.Ni aibu kwa vijana kuanza kuparamia na kulumbana nani awe rais kwa sasa badala ya kuumizwa kichwa ni kwa namna gani chama tukifikishe kijiji fulani na kutoa Elimu ya Uraia kwa umma Na Vijana Wenzangu tukwepe kuweka kupiga ripu na kupaka Rangi Nyumba kwenye Ukuta wa nje wakati ndani ni Vumbi tupu Hii ni katika kuangalia mikoni au Vijijini tunakotoka Chama tumekijengaje? Au tumepasahau na kubase pengine tu?.CDM tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu,Mbinu za CCM za kuwagombanisha Viongozi wetu Zitashindwa na Kulegea.CCM waliingia kwa mbinu tutawatoa kwa mbinu.
 
wamekimbia kwenye ule uzi wa kauli ya mtei baada ya kuona wameshindwa kumchafua zito.
Kaja kuanzisha mada nyingine kutimiza malengo.

Maswali rahisi ya kujiuliza, ni kipengele kipi cha katiba ya cdm ambacho zito amekikiuka?

Mlimnyima asigombee uenyekiti, akakubali kwa maslahi ya chama, leo mnamnyima tena asigombee uraisi, demokrasia inayohubiriwa na cdm iko wapi?

Kama mtei anakipenda chama na hataki mpasuko utokee, kwa nini anapingana na zito kwenye media na sio kwenye vikao halali vya chama?

Mtei Anafanya hivyo kwa maslahi ya nani?

Zito amesema ataomba idhini ya chama na asipo ruhusiwa atampigia kampeni mgombea atakae pitishwa na chama, huo ubinafsi hapo uko wapi?

Mbona mnamuhofia sana zito, kwanini msiache demokrasia ifanye kazi yake?

Hivi kwa nini ccm mnampenda sana zzk na sio mwingine yoyote ndani ya cdm??? Mbona ccm watu hawatangazi kugombea?? Mbona nafasi ya mwenyekiti ccm huwa hapingwi kwa taratibu mlizojiwekea na wala sio kikatiba wakati akiwa madarakani kama rais???? Kwani zitto alitangaza nia kwenye vikao vya cdm au kwenye media??? Mbona hujiulizi kwa nini hakutumia vikao halali kutangaza nia kwanza??? Mbona hujiulizi kwa nini zzk katumia media???? Kwa nini hakumpigia kampeni Dr Slaa uchaguzi uliopita???? Kwa nini hakuwanadi wagombea wa cdm kigoma??? Na badala yake akawanadi wagombea wa nccr??? Kwa kifupi ni kuwa tunajaribu kuhalalisha uwongo kwa mgongo wa hoja za kipuuzi sana. Zzk alikuwa mwanachadema ila sasa si mwanachadema na hii ilitokea rasmi alipoingizwa kwenye tume ya madini iliyoundwa na rais kikwete.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom