Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,381
- 6,707
Ungonellawa ukweli ZZK aliposaini petitin waziri mkuu aliondolewa? Kumbe hata sanaa kidogo huziengi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu ambavyo hujadiliwa sana mara nyingi huwa na pande nyingi sana za kuzielezea
Hta hivyo nikichukulia kuwa kauli yako ni kweli (kitu ambacho siamini) then kwa kweli jamaa ni mbishi na haelewi somo.
Nikiichukulia kuwa sio sahihi ndio pale pale tunaporudi kwenye post yangu ya kwanza kuwa anakuwa underestimated. Na huo ndio mtazamo wangu. Kuwa he knows exactly what he is doing na haya matokeo ya lawama, making headlines na mikanganyiko anaelewa kabisa nini anafanya na kwa nini...
Vitu ambavyo hujadiliwa sana mara nyingi huwa na pande nyingi sana za kuzielezea (in terms of schools of thoughts za makundi mbali mali); Inawezekana kauli yako ni kweli... Na pia inaweza kuwa sio kweli kutegemeana na mtazamo wa mwingine. Na hapo hapo kunaweza kuwa na mwingine na maelezo mengine kabisa...
Hta hivyo nikichukulia kuwa kauli yako ni kweli (kitu ambacho siamini) then kwa kweli jamaa ni mbishi na haelewi somo. Nikiichukulia kuwa sio sahihi ndio pale pale tunaporudi kwenye post yangu ya kwanza kuwa anakuwa underestimated. Na huo ndio mtazamo wangu. Kuwa he knows exactly what he is doing na haya matokeo ya lawama, making headlines na mikanganyiko anaelewa kabisa nini anafanya na kwa nini...
Ndivyo ilivyo ridhaa lazima itokee chamani, na chama lazima kiwe na wa mfumo ushindani, pengine kajaribu ndani kama kuna mtu anataka kumtetea sababu zake na kaona mfumo unabana kwa ndani ndio sababu za kutafuta support ya outside the elites within the party.Sehemu yoyote ile unapokuwa kwenye chama cha siasa, na labda una lengo la kupanda kwenda kwenye uongozi au juu zaidi, ni lazima utaomba baraka za wanachama wenzako na wakiridhia basi utapanda jukwaani na utaimba nyimbo zako na watu wote watakuunga mkono.
Sehemu yoyote ile unapokuwa kwenye chama cha siasa, na labda una lengo la kupanda kwenda kwenye uongozi au juu zaidi, ni lazima utaomba baraka za wanachama wenzako na wakiridhia basi utapanda jukwaani na utaimba nyimbo zako na watu wote watakuunga mkono.
kama kweli anajua anachokifanya bac ana dhamira ya kubomoa chama chake na pia hana dhamira ya dhati ya kutaka urais, kwa sababu ukiangalia kwa makini maelezo yake yana utata, mfano zzk anasema anatakiwa kugombea urais inatakiwa ni yule aliyezaliwa baada ya uhuru, huu ni ubaguzi wa wazi, sentensi hii tu ccm wanaweza wakatumia kama mtaji! Pia zzk anasema hatagombea ubunge na kwamba kama chama hakitampitisha atakuwa mpiga debe wa mgombea urais wa chama chake, je mathalani cdm wakampitisha mtu aliyezaliwa kabla ya uhuru je yeye zzk ataendelea kuwa mpiga debe? Wakati ni tofauti na msimamo wake?
Kwa hiyo mbowe na slaa tu ndio wanatakiwa kuzungumzia urais ndani ya chadema? Msikifanye chama hiki kaa KANU ya moi na kijana wake uhuru
zzk ana haki ya kugombea na si zz tu hata wewe, tatizo alichokosea hakuangalia timeline, hii itamgharimu kisiasa na wapinzani wake!umeshawahi kusikia wanaongelea urais kabla ya muda wake?
mwambieni huyo zitto na kimbelembele chake ahame cdm tuone kama ataendelea kuonekana katika nyanja ya siasa.chama ndo kinambeba huyu jamaa ingawa yeye anajiona mungu mtu.lazima aheshimu taratibu.aache kiherhere kama mkojo wa asbh.kamwe hataweza kuivuruga chadema kama anavyodhani.mnafiki mkubwa huyuwamekimbia kwenye ule uzi wa kauli ya mtei baada ya kuona wameshindwa kumchafua zito.
Kaja kuanzisha mada nyingine kutimiza malengo.
Maswali rahisi ya kujiuliza, ni kipengele kipi cha katiba ya cdm ambacho zito amekikiuka?
Mlimnyima asigombee uenyekiti, akakubali kwa maslahi ya chama, leo mnamnyima tena asigombee uraisi, demokrasia inayohubiriwa na cdm iko wapi?
Kama mtei anakipenda chama na hataki mpasuko utokee, kwa nini anapingana na zito kwenye media na sio kwenye vikao halali vya chama?
Mtei anafanya hivyo kwa maslahi ya nani?
Zito amesema ataomba idhini ya chama na asipo ruhusiwa atampigia kampeni mgombea atakae pitishwa na chama, huo ubinafsi hapo uko wapi?
Mbona mnamuhofia sana zito, kwanini msiache demokrasia ifanye kazi yake?
Zitto hana haja ya urais wala nini. Anafanya kazi aliyopewa na Usalama wa Taifa kuvuruga vyama vya upinzani. Zitto hajawahi kupigania maslahi ya nchi zaidi ya yake binafsi. Kwa tunaomjua, Zitto hana tofauti na akina Mrema, Seif, Mbatia, Kafulila, Cheyo, Kaboro na nyemelezi wengine wengi ambao watafanya lolote ili kupata tonge mdomoni. Hivyo, msihangaike na Zitto bali CCM ambao wamempandikiza hapo.
Ungonellawa ukweli ZZK aliposaini petitin waziri mkuu aliondolewa? Kumbe hata sanaa kidogo huziengi?