Mheshimiwa Temba Avuta Jiko

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Anafaa kupongezwa Amani Temba A.K.A Mheshimiwa Temba.....
1229499851_temba.jpg

Nampa five anajua kuchagua kitu kimetulia si kitoto babake.
 
All in all I wish him & his family the best in Life!!!
Temba make sure you keep that lady smiling as long as you live man!!
 
mh+temba.JPG

Wife wa Mh Temba akiwa amepozi

mh+temba+%282%29.JPG

Achilia mbalia na tatizo la kitaswila,kiukweli maharusi walipendeza mnooo

mh+temba+%281%29.JPG

Msanii wa kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Mh. Temba Jumamosi iliopita aliamua kuchukua uamuzi mzito kwa kuchukua jumla na kufunga nae ndoa katika kanisa la Azania Front jijini Dar. Picha kwa hisani ya Abdallah Mrisho​
 
Last edited by a moderator:
Hata Matonya naye kafanya kweli,,,,,

banana_matonya_wife.jpg

Ama hakika walipendeza sana.Pichani toka shoto ni mpambe wa bwana harusi Banana Zorro,Bwana harusi Matonya na mkewe wakiwa wameweka pozi hai tebo.
 
mh+temba+%282%29.JPG

Achilia mbalia na tatizo la kitaswila,kiukweli maharusi walipendeza mnooo

Msanii wa kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Mh. Temba Jumamosi iliopita aliamua kuchukua uamuzi mzito kwa kuchukua jumla na kufunga nae ndoa katika kanisa la Azania Front jijini Dar. Picha kwa hisani ya Abdallah Mrisho​

Sasa mbona hawakutoa lebo kwenye suti?! .... halafu hili tatizo nimeliona kwa watu wengi Bongo; sijui wanaziacha lebo kwa makusudi au ndiyo kutoelewa!!
 
Hata Matonya naye kafanya kweli,,,,,

banana_matonya_wife.jpg

Ama hakika walipendeza sana.Pichani toka shoto ni mpambe wa bwana harusi Banana Zorro,Bwana harusi Matonya na mkewe wakiwa wameweka pozi hai tebo.
Damn mbona kama bibie mileage imekwenda?......yule anita mkali than huyu......Sijajua kazi ya msimamizi wa harusi baada ya harusi......yaani Banana Zoro baada ya hii harusi.....Hongera Tonya...
 
Back
Top Bottom