Mheshimiwa Sitta asimikwa kuwa Mzee wa Karagwe ;akemea wanaotafuta uongozi kwa kutumia fedha

Tumeshuhudia mzee Sitta akiwa ziarani huko Karagwe. Eti alisimikwa kuwa kiongozi wa Wanyambo. Hivi ni kweli au iliktwa comedy. Wazee wa kinyambo hasa sikuwaona ila tu wana siasa wa ki-CCM. Inaweza kuwa mbinu za kisiasa?

Maeneo ya pembezoni hawapati kuona viongozi mara kwa mara hivyo watu hukusanyika kwa wingi wanaposikia fulani kaja. Je CCM wameliona hili wapate kupigwa picha zenye kuonyesa umati mkubwa baada ya kuna wanakataliwa mjini?
 
Sita mnafiki flani, na mashine ya kutengenezea majungu wenzake... ila hawachelewi kumpembua siku si nyingi maana washajua jamaa msaliti.... yeye anafikiria tumbo lake na madaraka tuu.
 
Jimbo lake la Urambo limemshinda anavamia ya wenzake. Hamjali hata Mama yake mzazi itakuwa wananchi? Nafiki sana zee hili.
 
Lowahasa+ Rost tamu= Richmwenddowananasi
Sittaa+ Mwakayembe= Lowahasa njeeeeeeeeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom