Mheshimiwa sana, wewe na timu yako mnaandika kitabu, ila usisahau kitabu hicho kitabeba jina lako tu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,326
Mheshimiwa popote ulipo,tambua tu hivi sasa wewe na timu yako kwa pamoja mnaandika kitabu huku wewe ukiwa ndio kiongozi wa jopo la waandishi,Mhariri Mkuu na Mmiliki pekee wa kitabu hicho ambacho kitatoka kwa jina lako na si la mtu mwingine yoyote wakiwemo hata hao wanaokusaudia kukiandika.

Mheshimiwa,ni ukweli kuwa kitabu hicho kitabeba jina lako; hivyo, kama kitajaa sentensi,aya na kurasa za kuleta sifa nzuri au mbaya, tambua tu sifa hizo zitakuwa ni zako binafsi kwa maana ya kwamba kitabu kikiwa kibaya au kizuri kutokana na content zake, basi hivyo ndivyo kitabu hicho kitakavokunadi kwa watu kadri jamii itakavyokuwa inakisoma kuanzia sasa na hata baada ya wewe kustaafu.

Ni bahati mbaya sana, wewe kama mwandishi mkuu na mhariri wa kitabu hichi, kila sentensi,aya au kurasa unayoletewa na wasaidi wako, wewe unaipokea kama ilivyo bila hata kuihariri na kisha na kuingiza katika kitabu chako. Tambua kitabu hicho kitatoka kwa jina lako, na hao wanaokusaidia si ajabu wasionekane popote pale katika kurasa zote za kitabu hicho.

Mheshimiwa, tambua si kila aya, sentesnsi au kurasa unayoletewa na wasaidizi wako, inafaa kuwa sehemu ya kitabu chako, bali baadhi ya sentensi,aya au kurasa hazifai kabisa kupewa nafasi katika kitabu hicho kwani kila atakaeikisoma kitampa tafsiri ya kukutafsiri wewe ulikuwa ni mtu au kiongozi wa aina gani.

Hatuwezi kulaumu sana wasaidizi wako kwasababu wanakuleta sentesnsi na aya ambazo wanajua wewe unazipenda na kwasababu wako kimasilahi zaidi, wanachojali wao ni mshahara na marupurupu unayowapa visipotee maana wanajua image ya kitabu haiwahusu na hivyo hiyo ni shauri yako.

Ni ukweli pia katika kuandika kitabu hiki, maneno,sentesi na aya nyingi zinatoka kwako au zinatokana na wewe mwenyewe kama mwandishi mkuu na mhariri mkuu hivyo wao wanaamua kupiga kimya hata kama wanaona kabisa baadhi ya maneno, sentensi,aya na kurasa zinachafua kitabu chako ila wanajua wakikushauri vinginevyo ama utawatimua au kuwabadilishia vitengo hivyo nao waanaamua kujikalia kimya tu wasipoteza vibarua vyao.

Ni ukweli pia kitabu hiki hakitakosa aya, sentensi na kurasa za nzuri ila tambua tu aya, sentensi na kurasa hizi nzuri machoni pa wasomaji zitafunikwa vibaya na aya au kurasa zenye ukakasi unazoendelea kuziandika mpaka sasa.

Nikwambie tu mpaka sasa kitabu unachoendelea kuandika ni wazi kimejaa sentensi,aya na kurasa nyingi ambazo hata kuzisoma sometimes inataka moyo hivyo jirekebishe walau kurasa zilizobaki ziweze kuvutia wasomaji na kuwapa moyo wa kusoma kitabu chako mpaka ukurasa wa mwisho.

Usisahau, kitabu unachoandika leo, kitasomwa na vizazi vingi sana vijavyo wakiwemo wanao,wajukuu zako, vitukuu wako na hata vilembwe wako, hivyo kitabu hiki si jambo dogo kama unavyodhani.

Wenzako wameacha vitabu vizuri ingawa vina mapungufu, ila chako kwako sijui kitakuwaje kwa wasomaji.

Nawaza tu kuhusu kitabu hiki.
 
Kitabu hiki kitakuwa ni kitamu sana kwa vizazi vijavyo, reli ya umeme ,elimu bure, Atcl, wananchi kunywesha soda mbuzi kwa hela za korosho ,upatikanaji wa dawa .

Yote haya yatasomeka kwenye kitabu cha awamu ya tano
 
Crap
 
Mheshimiwa popote ulipo,tambua tu hivi sasa wewe na timu yako kwa pamoja mnaandika kitabu huku wewe ukiwa ndio kiongozi wa jopo la waandishi,Mhariri Mkuu na Mmiliki pekee wa kitabu hicho ambacho kitatoka kwa jina lako na si la mtu mwingine yoyote wakiwemo hata hao wanaokusaudia kukiandika.

Mheshimiwa,ni ukweli kuwa kitabu hicho kitabeba jina lako na hivyo kama kitajaa sentensi,aya na kurasa za kuleta sifa nzuri au mbaya,tambua tu sifa hizo zitakuwa ni zako binafsi kwa maana ya kwamba kitabu kikiwa kibaya au kizuri kutokana na content zake, basi hivyo ndivyo kitabu hicho kitakavokunadi kwa watu kadri jamii itakavyokuwa inakisoma kuanzia sasa hata na baada ya wewe kustaafu.

Ni bahati mbaya sana wewe kama mwandishi mkuu na mhariri wa kitabu hichi,kila sentensi,aya au kurasa unayoletewa na wasaidi wako wewe unaipokea kama ilivyo bila hata kuihariri na kisha na kuingiza katika kitabu chako bila kujali kitabu hicho kitatoka kwa jina lako na hao wanaokusaidia si ajabu wasionekane popote pale katika kurasa zote za kitabu hicho.

Mheshimiwa,tambua si kila aya, sentesnsi au kurasa unayoletewa na wasaidizi wako inafaa kuwa sehemu ya kitabu chako bali baadhi ya sentensi,aya au kurasa hazifai kabisa kupewa nafasi katika kitabu chako kwani kila atakaeikisoma kitampa tafsi ya kukutafsiri wewe ni mtu au kiongozi wa aina gani.

Hatuwezi kulaumu sana wasaidizi wako kwasababu wanakuleta sentesnsi na aya ambazo wanajua wewr unazipenda na kwasababu wako kimasilahi zaidi wanachojali wao ni mshahara na marupurupu unayowapa visipotee maana wanajua image ya kitabu haiwahusu na hivyo hiyo ni shauri yako.

Ni ukweli pia katika kuandiks kitabu hiki, maneno,sentesi na aya nyingi zinatoka kwako au zinatokana na wewe mwenyewe kama mwandishi mkuu na mhariri mkuu hivyo wao wanaamua kupiga kimya hata kama wanaona kabisa baadhi ya maneno, sentensi,aya na kurasa zinachafua kitabu chako ila wanajua wakikushauri vinginevyo ama utawatimua au kuwabadilishia vitengo hivyo nao waanaamua kujikalia kimya tu wasipoteza vibarua vyao.

Ni ukweli pia kitabu hiki hakitakosa aya, sentensi na kurasa za nzuri ila tambua tu aya, sentensi na kurasa hizi nzuri machoni pa wasomaji zitafunikwa vibaya na aya au kurasa zenye ukakasi unazoendelea kuziandika mpaka sasa.

Nikwambie tu mpaka sasa kitabu unachoendelea kuandika ni wazi kimejaa sentensi,aya na kurasa nyingi ambazo hata kuzisoma sometimes inataka moyo hivyo jirekebishe walau kurasa zilizobaki ziweze kuvutia wasomaji na kuwapa moyo wa kusoma kitabu chako mpaka ukurasa wa mwisho.

Usisahsu kitabu unachoandika leo kitasomwa na vizazi vingi sana vijavyo wakiwemo wanao,wajukuu zako, vitukuu wako na hata vilembwe wako hivyo kitabu hiki si jambo dogo hata kidogo.

Wenzako wameacha vitabu vizuri ingawa vina mapungufu ila chako kwako sijui kitakuwaje kwa wasomaji.

Nawaza tu kuhusu kitabu hiki.
pascal Mayalla hiki ndio kitabu cha mheshimiwa ambacho Gazeti ulilolitaja wameanza tu kutoa summary ya kitabu hiki ingawa bado kinaendelea kuandikwa.
 
Mkuu umenena vyema.Tatizo mwangalia Shilawadu hawezi kupoteza mda kusoma vitu vya maana.
Anadanganywa na vibaraka wanaomzunguka ambao kutwa kazi yao ni kumtetea hata akifanya makosa ya wazi anasahau lawama zote ni zake.
 
Mheshimiwa popote ulipo,tambua tu hivi sasa wewe na timu yako kwa pamoja mnaandika kitabu huku wewe ukiwa ndio kiongozi wa jopo la waandishi,Mhariri Mkuu na Mmiliki pekee wa kitabu hicho ambacho kitatoka kwa jina lako na si la mtu mwingine yoyote wakiwemo hata hao wanaokusaudia kukiandika.

Mheshimiwa,ni ukweli kuwa kitabu hicho kitabeba jina lako na hivyo kama kitajaa sentensi,aya na kurasa za kuleta sifa nzuri au mbaya,tambua tu sifa hizo zitakuwa ni zako binafsi kwa maana ya kwamba kitabu kikiwa kibaya au kizuri kutokana na content zake, basi hivyo ndivyo kitabu hicho kitakavokunadi kwa watu kadri jamii itakavyokuwa inakisoma kuanzia sasa hata na baada ya wewe kustaafu.

Ni bahati mbaya sana wewe kama mwandishi mkuu na mhariri wa kitabu hichi,kila sentensi,aya au kurasa unayoletewa na wasaidi wako wewe unaipokea kama ilivyo bila hata kuihariri na kisha na kuingiza katika kitabu chako bila kujali kitabu hicho kitatoka kwa jina lako na hao wanaokusaidia si ajabu wasionekane popote pale katika kurasa zote za kitabu hicho.

Mheshimiwa,tambua si kila aya, sentesnsi au kurasa unayoletewa na wasaidizi wako inafaa kuwa sehemu ya kitabu chako bali baadhi ya sentensi,aya au kurasa hazifai kabisa kupewa nafasi katika kitabu chako kwani kila atakaeikisoma kitampa tafsi ya kukutafsiri wewe ni mtu au kiongozi wa aina gani.

Hatuwezi kulaumu sana wasaidizi wako kwasababu wanakuleta sentesnsi na aya ambazo wanajua wewr unazipenda na kwasababu wako kimasilahi zaidi wanachojali wao ni mshahara na marupurupu unayowapa visipotee maana wanajua image ya kitabu haiwahusu na hivyo hiyo ni shauri yako.

Ni ukweli pia katika kuandiks kitabu hiki, maneno,sentesi na aya nyingi zinatoka kwako au zinatokana na wewe mwenyewe kama mwandishi mkuu na mhariri mkuu hivyo wao wanaamua kupiga kimya hata kama wanaona kabisa baadhi ya maneno, sentensi,aya na kurasa zinachafua kitabu chako ila wanajua wakikushauri vinginevyo ama utawatimua au kuwabadilishia vitengo hivyo nao waanaamua kujikalia kimya tu wasipoteza vibarua vyao.

Ni ukweli pia kitabu hiki hakitakosa aya, sentensi na kurasa za nzuri ila tambua tu aya, sentensi na kurasa hizi nzuri machoni pa wasomaji zitafunikwa vibaya na aya au kurasa zenye ukakasi unazoendelea kuziandika mpaka sasa.

Nikwambie tu mpaka sasa kitabu unachoendelea kuandika ni wazi kimejaa sentensi,aya na kurasa nyingi ambazo hata kuzisoma sometimes inataka moyo hivyo jirekebishe walau kurasa zilizobaki ziweze kuvutia wasomaji na kuwapa moyo wa kusoma kitabu chako mpaka ukurasa wa mwisho.

Usisahsu kitabu unachoandika leo kitasomwa na vizazi vingi sana vijavyo wakiwemo wanao,wajukuu zako, vitukuu wako na hata vilembwe wako hivyo kitabu hiki si jambo dogo hata kidogo.

Wenzako wameacha vitabu vizuri ingawa vina mapungufu ila chako kwako sijui kitakuwaje kwa wasomaji.

Nawaza tu kuhusu kitabu hiki.
Cc: @Mwanahari huru
 
Back
Top Bottom