Mheshimiwa Raisi, Watumishi hawa nao wanastahili kutambuliwa. Kwakuwa wewe sio Mnafiki, tunasubiri neno lako Mei Mosi.

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Mheshimiwa Raisi nimekukubali kwa kitendo chako cha kupendekeza (kama haitakuwa kushinikiza) Hakimu aliyetekeleza wajibu wake "kwa mujibu wa " sheria kwa kumfunga mlawiti, kuwa apewe UJAJI, tena akiwa kesha staafu!.

Naomba pia uangalie walimu wanaofanya kazi katika mazingira magumu na kuwafunza watoto watoto waliokulia katika mazingira yasiyo rafiki kiusomi, lakini wakapambana hadi wakapata daraja la kwanza kwenye mitihani yao (Division 1).

Hawa nao tunapendekeza kwa spirit ile ile ya Hakimu Mstaafu, nao waongezewe vyeo na marupurupu yake sawia.
Hili pia liwahusu madaktari na Wauguzi walio handle cases za hatari na kuzipa ufumbuzi na wagonjwa wakapona nakadhalika.

Mheshimiwa Raisi tenda haki kwa wote tafadhali.
 
Adui wa mwalimu ni mwalimu.Hawa hawana maanaMahakimu Kwanza na maaskari.

Nasema kila siku humu GOMENI INDIRECTLY,kwamisheni.
 
Pongezi kwa waalimu wote
ni kazi ya wito haswa... kufundisha ambao hawafundishiki halafu hata wasielewe

imagine Mwalimu wake na Kangii wanajisikiaje huko waliko

Hasa Alipokuwa akibwatuka
ooohh ''walahi naapia huyu CAG ni mwongo balaa,sare zipo za kutosha.!

kwa midadi akaahidi; "..nitavua nguo zote nibaki nilivyozaliwa yaani uchi wa mnyama...halafu nitaandika kujiuzulu..kwa notice ya saa24.!!''

ahadi ni deni na dawa ya deni ni kulipa
 
Mheshimiwa Raisi nimekukubali kwa kitendo chako cha kupendekeza (kama haitakuwa kushinikiza) Hakimu aliyetekeleza wajibu wake "kwa mujibu wa " sheria kwa kumfunga mlawiti, kuwa apewe UJAJI, tena akiwa kesha staafu!.

Naomba pia uangalie walimu wanaofanya kazi katika mazingira magumu na kuwafunza watoto watoto waliokulia katika mazingira yasiyo rafiki kiusomi, lakini wakapambana hadi wakapata daraja la kwanza kwenye mitihani yao (Division 1).

Hawa nao tunapendekeza kwa spirit ile ile ya Hakimu Mstaafu, nao waongezewe vyeo na marupurupu yake sawia.
Hili pia liwahusu madaktari na Wauguzi walio handle cases za hatari na kuzipa ufumbuzi na wagonjwa wakapona nakadhalika.

Mheshimiwa Raisi tenda haki kwa wote tafadhali.
Aisee ckujua km mh mteite alistaafu
 
80 percent ya walimu uwezo wao ni almost zero. Naomba mnisamehe lakini ukweli ndiyo huo. Maana yakr ni kwamba, acheni kupiga mayowe maana hata mqmna msaada kwa watoto wetu. Ni Mungu tu anawasaidia.
 
Pongezi kwa waalimu wote
ni kazi ya wito haswa... kufundisha ambao hawafundishiki halafu hata wasielewe

imagine Mwalimu wake na Kangii wanajisikiaje huko waliko

Hasa Alipokuwa akibwatuka
ooohh ''walahi naapia huyu CAG ni mwongo balaa,sare zipo za kutosha.!

kwa midadi akaahidi; "..nitavua nguo zote nibaki nilivyozaliwa yaani uchi wa mnyama...halafu nitaandika kujiuzulu..kwa notice ya saa24.!!''

ahadi ni deni na dawa ya deni ni kulipa
alipe nini.sasa wakati mayuniform yapo kibao...wajameni
 
Huyo hakimu amepewa tuzo kwa sababu alimfunga Sugu kwani wangapi wametoa vifungo. Wapo wengi sana washatoa hukumu kwa makosa mbalimbali zikiwemo ubakaji na mauaji nk
 
Back
Top Bottom