Mheshimiwa Rais unapokuja Ruangwa ukiwa kwenye ziara yako tunakuomba usipande ndege, njoo kwa gari

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
466
Kama Kichwa Cha Habari Kilivyo Tunakuomba Utumie Usafiri wa Gari Utakapokuja Wilayani Ruangwa Uje Ujionee Bara bara ya Anakotokea Waziri Mkuu Wetu. Atuna Mengi ni Hayo tu.

d7582f06c7bc4e6b6c6ceacbc133c734.jpg
c59eb75e6d462b42959e1dd7debfb840.jpg
9edf89b5c8eff0b2b8eb62da9c145f34.jpg
97c0756612f618311b8035ea71f5323f.jpg

c71da5247d7e5904b4c719ec56011491.jpg
 
Khaa! Watu wa Ruangwa mmejaliwa bara bara nzuri namna hiyo! By the 'global standard' bara bara yenu ni nzuri kuliko ile ya kuelekea Mkoa wa Tabora na Kigoma... Yani kule bara bara ni mashimo mashimo na vihandaki vya hapa na pale.
You should be grateful kwa kuwa na njia nzuri namna hiyo, japo sio ya lami lakini inaonekana kuwa inapitika...
 
Kama Kichwa Cha Habari Kilivyo Tunakuomba Utumie Usafiri wa Gari Utakapokuja Wilayani Ruangwa Uje Ujionee Bara bara ya Anakotokea Waziri Mkuu Wetu. Atuna Mengi ni Hayo tu.

d7582f06c7bc4e6b6c6ceacbc133c734.jpg
c59eb75e6d462b42959e1dd7debfb840.jpg
9edf89b5c8eff0b2b8eb62da9c145f34.jpg
97c0756612f618311b8035ea71f5323f.jpg

c71da5247d7e5904b4c719ec56011491.jpg
Sawa Mkuu amekusikia.

Lakini na wewe uwe na tabia ya kuosha gari au hata kulifuta. Angalia hapo kwenye dash board, ina vumbi balaa ilihali mvua ikiwa imenyesha. Au hata hicho kitambaa unaona uvivu kukitumia?
 
Kama Kichwa Cha Habari Kilivyo Tunakuomba Utumie Usafiri wa Gari Utakapokuja Wilayani Ruangwa Uje Ujionee Bara bara ya Anakotokea Waziri Mkuu Wetu. Atuna Mengi ni Hayo tu.
Hata akija na ndege atatua kwenye shamba la bibi ako? Am sure huko hamna uwanja wa ndege....
 
Sawa Mkuu amekusikia.

Lakini na wewe uwe na tabia ya kuosha gari au hata kulifuta. Angalia hapo kwenye dash board, ina vumbi balaa ilihali mvua ikiwa imenyesha. Au hata hicho kitambaa unaona uvivu kukitumia?
Mkuu ni Gari ya Abiria Mimi ni Msafiri tu Siyo Gari Yangu.
 
Mods Tafadhari Wekeni Njoo na Siyo Nnoo Hapo Kwenye Kichwa cha Habari
 
Back
Top Bottom