Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda nampa pongezi sana.
Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja tungependa kuona serikali ikitupia jicho eneo hili ili watanzania wapate Cement kwa bei nafuu huku kanda ya ziwa. Si vizuri kuamua kuwalinda wenye viwanda vya Cement kwa gharama ya watanzania maskini.
Serikali iruhusu Cement kutoka Kenya na iondoe masharti magumu ya uagizaji wa Cement
Hili wiki hii linakuja

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nini maana ya kuwa na Clinker yenye kodi kubwa and then bei cement ipande juu kiasi hicho. Hata kama unajifanya mtaalamu kiasi hicho na kuniita mimi mlanguzi bado wewe unatetea hicho kibarua chako kwa gharama ya Mtanzania masikini. Sisi tunataka Cement kwa bei nafuu sio hizo blah blah zako.
Mkuu Bowie, mbona huelewi?

Watu kama nyinyi ndio mnaoleta matatizo kwa kutoelewa mambo.

Mimi sijasema popte kwamba ni vizuri Tanzania pawepo na bei kubwa ya simenti ambayo wananchi wake hawawezi kuimudu, siwezi kamwe, na wala siwezi kuthubutu kutetea hali hiyo.

Ninachokataa ni wewe hapo kutetea jambo ambalo huna ufahamu nalo, la kwamba Kenya simenti yao ni rahisi kwa hiyo ni bora tununue huko na tutelekeze viwanda vyetu.
Ungekuwa unazungumzia serikali ifanye juhudi za kusaidia bei hiyo ishuke ningekuelewa, lakini siwezi kamwe kupiga vigelegele kwa kuagiza huko kwa majirani ambao na wao kiuhalisia sehemu kubwa ya simenti hiyo inatokana na viwanda vyao kupewa upendeleo.
Kwa nini viwanda vyetu na wao wasipewe upendeleo.
 
Mkuu sasa hivi elewa Demand ya Cement nchini ni kubwa kuliko supply ukichukulia miradi hii mikubwa ya Standard Gauge na Mwalimu Nyerere Hydropower ambapo matumizi ya Cement kwenye miradi hii ni mkubwa sana. Tumeona viongozi waliopewa fedha za kujenga mashule wakilalamika kupanda kwa bei ya Cement sasa kuna ubaya gani kwa serikali kuruhusu Cement kutoka nchi za jirani ambazo wanacement za ziada kutu supply kwa kulipa kodi wakati wa uagizaji. Cement ni sh 12000 tsh pamoja na kodi ikiwepo ikiuzwa Kenya. Inamaana kwa Cement ya export kutoka kiwandani itakuwa chini ya hapo pamoja na kulipa kodi bado Cement itakuwa nafuu. Kwanini watanzania tuumie kwa bei ya Cement. Weka pembeni kauli yako potofu ya Ulanguzi hii ndio ilipelekea miaka ya 70s na 80s migao ya Cement & Sukari nk
 
Bado nakuona kwamba wewe ni dalali/mlanguzi kwa kauli yako hiyo ya "Miaka ya 70s na 80s migao ya cement & sukari, n.k..
Ina maana wewe ulikuwa unaishi dunia ya peke yako ambako hapakuwa na uyumbaji wa uchumi duniani kote?

Bado nakataa hiyo bei ya Tsh 12,000/ mfuko wa simenti, hizo ni porojo tu!

Kwa nini huwahimizi waongeze 'shift' za kazi kama mahitaji ni makubwa, wewe unaona suluhisho ni hilo tu la ulanguzi?
 
Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda nampa pongezi sana.
Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja tungependa kuona serikali ikitupia jicho eneo hili ili watanzania wapate Cement kwa bei nafuu huku kanda ya ziwa. Si vizuri kuamua kuwalinda wenye viwanda vya Cement kwa gharama ya watanzania maskini.
Serikali iruhusu Cement kutoka Kenya na iondoe masharti magumu ya uagizaji wa Cement
Kwa nini unashikilia lazima itoke kenya?
 
Siwezi kubishana tena na Kibarua asiyejua maana ya Demand and Supply. Never argue with a ...
 
Mkuu sasa hivi elewa Demand ya Cement nchini ni kubwa kuliko supply ukichukulia miradi hii mikubwa ya Standard Gauge na Mwalimu Nyerere Hydropower ambapo matumizi ya Cement kwenye miradi hii ni mkubwa sana.
Sidhani kama Tanzania tunatoa hata bolt ya kutumika kwenye hili miradi yote ya kimkakati, everything is imported. Sisi tuna suppy labour force na consumables only!. Hivyo uhaba wa cement ni issue nyingine.

Ila Mkuu Bowie, una hoja ya msingi sana, kama cheap imported sugar ilizuiliwa for protecting viwanda vya ndani sukari isiwadodee viwandani, lakini kutokana na uhaba wa sukari, Mama amefungulia sukari ya Uganda, hivyo you are absolutely right, kufuatia uhaba wa cement, kama mfuko wa cement ya Tanzania unafika TZS 24,000 wakati cement ya Kenya ni just TZS 12,000, then why not?.

Tuko kwenye soko la pamoja la EA Common Market na tuna EA Custom Union, kuna free movement of goods and services to all member states, kwanini cement ya Kenya uzuiliwe kuingia Tanzania?. Nakumbuka miaka ya nyuma kwenye ile vita ya bia, "the beer war", bia ya Tanzania ilikuwa na kodi kubwa, Kenya wakaondoa kodi yote kwenye export ya bia, hivyo mikoa ya Kaskazini, Moshi na Arusha, bia ya Tusker was cheap kuliko Ndovu, hivyo bia zetu zikatudodea, hivyo wasije ruhusu kiholela hiyo cheap cement ya Kenya ikaja kutudodeshea cement yetu!. Serikali yetu iangalie kwanini cement ya Kenya ni cheap, ichukue hatua za kupunguza kodi cement yetu pia ishuke bei wa Tanzania tufaidike na unafuu wa bei.

P
 
Mkuu transport costs ya kusafirisha Cement kutoka Dar mpaka Musoma ama Tarime ni kubwa sana na hii inachangia kwa kiasi kikubwa bei ya Cement. Na matumizi ya Cement kwenye miradi hii mikubwa asilimia 100 wanatumia cement ya Tanzania
 
Sidhani kama Tanzania tunatoa hata bolt ya kutumika kwenye hili miradi yote ya kimkakati, everything is imported. Sisi tuna suppy labour force na consumables only!. Hivyo uhaba wa cement ni issue nyingine.

Ila Mkuu Bowie, una hoja ya msingi sana, kama cheap imported sugar ilizuiliwa for protecting viwanda vya ndani sukari isiwadodee viwandani, lakini kutokana na uhaba wa sukari, Mama amefungulia sukari ya Uganda, hivyo you are absolutely right, kufuatia uhaba wa cement, kama mfuko wa cement ya Tanzania unafika TZS 24,000 wakati cement ya Kenya ni just TZS 12,000, then why not?.

Tuko kwenye soko la pamoja la EA Common Market na tuna EA Custom Union, kuna free movement of goods and services to all member states, kwanini cement ya Kenya uzuiliwe kuingia Tanzania?. Nakumbuka miaka ya nyuma kwenye ile vita ya bia, "the beer war", bia ya Tanzania ilikuwa na kodi kubwa, Kenya wakaondoa kodi yote kwenye export ya bia, hivyo mikoa ya Kaskazini, Moshi na Arusha, bia ya Tusker was cheap kuliko Ndovu, hivyo bia zetu zikatudodea, hivyo wasije ruhusu kiholela hiyo cheap cement ya Kenya ikaja kutudodeshea cement yetu!. Serikali yetu iangalie kwanini cement ya Kenya ni cheap, ichukue hatua za kupunguza kodi cement yetu pia ishuke bei wa Tanzania tufaidike na unafuu wa bei.

P
Asilimia kubwa Cement katika miradi hii mikubwa inatumika kutoka viwanda vya hapa nchini
 
Mkuu transport costs ya kusafirisha Cement kutoka Dar mpaka Musoma ama Tarime ni kubwa sana na hii inachangia kwa kiasi kikubwa bei ya Cement.
Hicho ni kisingizio mkuu. Nimekupa mfano hapo juu. Ulizia Ulizia bei ya Tembo cement yoyote mjini Mbeya inapotengenezwa, halafu ulizia bei ya sementi hiyo hiyo Makambako na Dar. Utaona hiyo kitu hai apply. Ingawa ni sahihi tungetegemea bei iwe kubwa mbali, ila hawa jamaa wanachezea soko. Off course tuliopo maeneo ya Iringa tunanufaika na hili, ila kwa maumivu ya wale watu wanaoishi jirani na kiwanda.
 
Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda nampa pongezi sana.
Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja tungependa kuona serikali ikitupia jicho eneo hili ili watanzania wapate Cement kwa bei nafuu huku kanda ya ziwa. Si vizuri kuamua kuwalinda wenye viwanda vya Cement kwa gharama ya watanzania maskini.
Serikali iruhusu Cement kutoka Kenya na iondoe masharti magumu ya uagizaji wa Cement
Hili NI kweli mfano ZANZIBAR saruji ya nje inaweza kuuzwa hata 10,000 Kwa mfuko lkn inauzwa mpk 18,000 eti tulinde Viwanda vya Tanganyika huu NI upuzi WA kiwango cha utopolo
Kila Mmoja ashinde mechi zake
 
Back
Top Bottom